Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habarini ndugu! Ninaomba kujuzwa tiba mbadala ya uti coz mara ya kwanza nilichomwa powersef 5,cipro5 na dox5 lakini nikaona bado nikameza azuma ila bado naona inanisumbua sasa nitumie dawa ip tena.Nawasilisha
Kunywa maji mengi sana, maji safi na salama. Hakikisha unajikausha vizuri huko chini pindi uendapo haja au ukiloa kwa sababu yoyote. Kama unatumia public toilets, tumia detol. Hata dawa za typhoid zinatibu UTI ukinywa dozi ya siku tano
Habari yako ndugu? Pole kwa hayo maradhi yako ukikosa kupata Dawa Mbadala ya maradhi ya UTI mimi ninayo ila itabidi unilipe nitakupa kwa gharama ukitaka nitafute bonyeza hapa.MawasilianoHabarini ndugu! Ninaomba kujuzwa tiba mbadala ya uti coz mara ya kwanza nilichomwa powersef 5,cipro5 na dox5 lakini nikaona bado nikameza azuma ila bado naona inanisumbua sasa nitumie dawa ip tena.Nawasilisha
pole sana haa mym nipigie au nitext kupitia 0759077008 nikupatie dawa
pole sana haa mym nipigie au nitext kupitia 0759077008 nikupatie dawa
Ungeandika dawa ili wote tujue au tiba mbadala itakuwa vzuri sana
12 Home Remedies For Urine Tract InfectionHabarini ndugu! Ninaomba kujuzwa tiba mbadala ya uti coz mara ya kwanza nilichomwa powersef 5,cipro5 na dox5 lakini nikaona bado nikameza azuma ila bado naona inanisumbua sasa nitumie dawa ip tena.Nawasilisha
scientific studies zinaonyesha cranberry juice haina uwezo wa kutiba. mleta mada unaweza kuwa na pseudomonas ambao ni wabishi wadawa mpaka b-lactams antibiotics. pia inaawezekana ni candiduria yaani fungal infections au unexplained urethritis ambayo ina kila dalili za UTI lakini wadudu hawaonekani na chanzo hakijulikani.Pia cranberry juice ni nzuri sana it acidifies the urine
Haitibu ila it prevent recurrent UTI by acidifying the urine.....scientific studies zinaonyesha cranberry juice haina uwezo wa kutiba. mleta mada unaweza kuwa na pseudomonas ambao ni wabishi wadawa mpaka b-lactams antibiotics. pia inaawezekana ni candiduria yaani fungal infections au unexplained urethritis ambayo ina kila dalili za UTI lakini wadudu hawaonekani na chanzo hakijulikani.
Unapatikana wapi
Niko Dar yani inanisumbuaje
inaleta mawe ktk figoJitahidi ukapime na figo zako ujue utendaji kazi wake kama ni mzuri