Authentique
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 223
- 105
Shukran jazeelan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madaktari wengi tu wenye huelewa hawafanyi ivyo, wew utakua unachanganya UTI na STI, STI ndo lazima umtibu partner lakin huku kwenye UTI hatufanyi ivyo. Go with investigations, mnawapa watu madawa ovyo bila kujua effects za toxicity ya zile dawa. re-infections inaweza kutokea ata kwa madawa yako sababu unaua Normal flora maana mtu haumwi bado mnampa antibiotics katka dozi kubwa kama unatibu kitu.Kwa wale wanao ishi nawakezao, zaidi yamiaka 2 kuendelea watakua wananielewa ninacho kuelewesha. ivi ni Doctor gani anaweza kumtibu mgonjwa wake UTI bila kumshauri amlete na mwenza wake. kwahali hii ndiomana unakuta ungojwa ukijirudia mara kwamara. na mwisho unakua ungojwa sugu. inashauriwa mgonjwa wa UTI akatibiwe yeye na mwenzawake. ili kujiepusha marudio
Hakuna Kitu kama hicho ktk medicine.Ndomara yakwanza naskia mtu kupinga kama U.T.I haiambukii kutoka kwamtu kwenda kwa mwenzawake....
Waambie kabisa hao ndiyo wanaleta dhana mpya kabisa kuhusu UTI.Madaktari wengi tu wenye huelewa hawafanyi ivyo, wew utakua unachanganya UTI na STI, STI ndo lazima umtibu partner lakin huku kwenye UTI hatufanyi ivyo. Go with investigations, mnawapa watu madawa ovyo bila kujua effects za toxicity ya zile dawa. re-infections inaweza kutokea ata kwa madawa yako sababu unaua Normal flora maana mtu haumwi bado mnampa antibiotics katka dozi kubwa kama unatibu kitu.
Usiwadanganye watu kuhusu kutibu mgonjwa wa UTI na partner wake hakuna Kitu kama hichoKwa wale wanao ishi nawakezao, zaidi yamiaka 2 kuendelea watakua wananielewa ninacho kuelewesha. ivi ni Doctor gani anaweza kumtibu mgonjwa wake UTI bila kumshauri amlete na mwenza wake. kwahali hii ndiomana unakuta ungojwa ukijirudia mara kwamara. na mwisho unakua ungojwa sugu. inashauriwa mgonjwa wa UTI akatibiwe yeye na mwenzawake. ili kujiepusha marudio
Weka reference basi kuthibitisha usemi kuwa UTI ni contogiousAcheni Udaktar Uchwara Watz, Km Mwanamke Akiwa Na U.T.I, Akfanya Ngono Bila Knga Kunauwezekano Mkubwa Mwanaume Kuambukizwa. Cc Ni Watu Wazma Tumepractice Vya Kutosha, So Mtoa Mada Yupo Sahihi Kbsa. Km Utatibiwa Peke Yako Bla Mke Lazma Itarudi2
Baki nakile unacho kielewe mkuu, siku utakuwa utaelewa ninacho kimaanisha.Usiwadanganye watu kuhusu kutibu mgonjwa wa UTI na partner wake hakuna Kitu kama hicho
Ni magonjwa ya ngono STIs ndiyo anatibiwa na partner wake ili kukaa maambukizi
Waambie kabisa hao ndiyo wanaleta dhana mpya kabisa kuhusu UTI.
Wanachanganya UTI na STIs
Baki nakile unacho kielewe mkuu, siku utakuwa utaelewa ninacho kimaanisha.
Narudia tena UTI haiambukizi kwa njia ya ngono au zinaa usichanganye mada.Amini usiamini UTI inaambukiza mkuu, ilishanitokea mm sikuamini ila sikuamini kama ww kwasababu hizo hizo ulizozitoa mpaka pale nilipomuuliza daktari na kunithibitishia inaambukiza japokuwa kitabibu Inaonyesha haiwezekani.
Tusichanganye mada ya UTI na STIs na shida IPO ktk kwa watanzania kwenye Ku google usifikiri kila Kitu kilichopo ndani ya Google ni sahihi.Baki nakile unacho kielewe mkuu, siku utakuwa utaelewa ninacho kimaanisha.
Hiyo ndiyo internal medicine.Sio rahisi kuamini mpaka yamkute ila ni kweli inaambukiza japokuwa kitaaluma ukisoma inaonyesha huwezi kupata maambukizi kutoka kwa partner wako.
Mwanamke njia ya mkojo iko tofauti na njia ya uzazi ambako ndipo wewe unaingiza uume wako.Acheni Udaktar Uchwara Watz, Km Mwanamke Akiwa Na U.T.I, Akfanya Ngono Bila Knga Kunauwezekano Mkubwa Mwanaume Kuambukizwa. Cc Ni Watu Wazma Tumepractice Vya Kutosha, So Mtoa Mada Yupo Sahihi Kbsa. Km Utatibiwa Peke Yako Bla Mke Lazma Itarudi2
UTI imekuwa biashara mjini na kumekuwa na misunderstandings kwa jamii na hasa partners.Uko correct kabisa we jamaa
this is y we say UTI is not CONTAGIOUS like STI.
UTI haiambukizwi by sex, so unapomtibu mtu sio lazima umtibu na partiner wake, ni vema kuangalia if it is lower/upper UTI and investigate about causative organism!
But, unaeza mshaur mtu a avoid sex as it may lead to discomfort also inaweza pelekea other infection ambazo sio lazima ziwe UTI.
Tuwekee hiyo Google yako tuku challenge kuhusu UTI na kutibu Partner wake Kitu ambacho hakipo.Nikitulia nitakuwekea... alafu tambua katika kumtibu mgonjwa lazima na partnerwake apewe dozi. iyo haikwepeki.