Yawezekana ni tatizo la muda mrefu lakini kwa siku za hivi karibuni UTI imeonekana kuwa ni janga tena kubwa kwa wana wa kike hasahasa walo katika "teen age" ....
Mahali fulani shule ya sekondari .... ilionekana UTI kuwasumbua sana wanafunzi wa kike walokuwa bweni ... ikawa ni frequent routines za hospital .....
Wako wapi wataalamu wa magonjwa haya ya maambukizo ili kutoa angalizo ama maelekezo yatakayowasaidia hawa ndg zetu kuepukana na tatizo hili?
Nngeweza post JF doctor but nmeona ni vyema waso kule nao wapate elimu hii ..
Well said mkuu,Vyoo vya public vinachangia sana kusambaza ugonjwa huu kwa wanawake. Kunywa maji mengi husaidia sana lakini kama bi dada nao ugonjwa huu na njemba wake ambao hupeana yale mambo matamu basi njemba naye inabidi atibiwe ili kuumaliza ugonjwa vinginevyo utakuwa unajirudia kila mara.
Naamin wahusika watakuwa wamepata elimu juu ya chanzo na nn kifanyikeVyoo vya public vinachangia sana kusambaza ugonjwa huu kwa wanawake. Kunywa maji mengi husaidia sana lakini kama bi dada nao ugonjwa huu na njemba wake ambao hupeana yale mambo matamu basi njemba naye inabidi atibiwe ili kuumaliza ugonjwa vinginevyo utakuwa unajirudia kila mara.
ImpossibleKunywa maji mengi itapotea yenyewe
Dr Mwaka kaharibu watu sanaMaji ndo dawa
Kunywa maji weweeDr Mwaka kaharibu watu sana
Watoto wa kike na wanawake kwa ujumla ndio wanaonekana hasa kuwa wahanga wa UTI kwa sababu ya maumbile ya sehemu za siri hasa wakati wa kujisaidia haja ndogo.Yawezekana ni tatizo la muda mrefu lakini kwa siku za hivi karibuni UTI imeonekana kuwa ni janga tena kubwa kwa wana wa kike hasahasa walo katika "teen age" ....