busy bees
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 2,249
- 1,340
Yawezekana ni tatizo la muda mrefu lakini kwa siku za hivi karibuni UTI imeonekana kuwa ni janga tena kubwa kwa wana wa kike hasahasa walo katika "teen age" ....
Mahali fulani shule ya sekondari .... ilionekana UTI kuwasumbua sana wanafunzi wa kike walokuwa bweni ... ikawa ni frequent routines za hospital .....
Wako wapi wataalamu wa magonjwa haya ya maambukizo ili kutoa angalizo ama maelekezo yatakayowasaidia hawa ndg zetu kuepukana na tatizo hili?
Nngeweza post JF doctor but nmeona ni vyema waso kule nao wapate elimu hii ..