Urinary Tract Infections ( UTIs) Imekuwa Janga

Hakika ninazidi kuelimika kotekote chanzo na tiba/suluhisho ....

but hebu tushauriane ni nini kifanyike kwa wale ambao wanatumia choo cha shimo ili waepuke haya maambukizi?
 
wanawake wanaathirika zaidi kutokana na maumbile yao wanapojisaidia wengi wanatumia tissue kujiswafi ila kuna vijidudu vipo kwenye njia ya haja kubwa havina madhara ila vikiingiingia njia ya haja ndogo ndio vinaleta madhara
 
Kitaalamu UTI inaweza ambikizwa kwa njia ya ngon hasa unapozini na MTU mwenye UTI no lazima uambukizwe
 
Kitaalamu UTI inaweza ambikizwa kwa njia ya ngon hasa unapozini na MTU mwenye UTI no lazima uambukizwe

Sio kweli mkuu haiwezekani before nilikuwa najua hivyo nikakutana na mtua akanieleza hilo kwamba haiwezekani.

Sikuishia happ nikapata nafasi ya kukutana na urologist mmoja ni surgeon by the way nikamtupia hilo swali akasema haiwezekani na akanipa maelezo heavy tu.

Sikuishia hapo later nikakutana na gyno mmoja hivi ni mzoefu wa siku nyingi pia akanielezea haiwezekani hiyo.

Mkuu nitarudi baadae kukupa points kwa nini sex haiwezi ku-transimit UTI
 
usithubutu kuwadanganya watu huu ugonjwa hatari sana madhara yake inaweza hata kupelekea mtu kuharibika kibofu cha mkojo na usijaribu kuwapotosha watu kuwa eti UTI haiambukizwi kwa njia ya ngono....

The Sex & UTI connection

Often known as “honeymoon cystitis”, increased sexual activity is one of the top reasons women contract urinary tract infections (UTIs). The UTI-sex connection is not clear cut because sexual activity, itself, does not directly cause a UTI, however, it can increase the introduction of bacteria into the urethra and cause irritation to that area. This, in effect, can increase the chances of developing a urinary tract infection (UTI), particularly among women who are more prone and whose urine stream isn’t typically strong enough to flush the bladder of this increased bacteria.

Use of certain types of barrier contraception can also increase the risk. Women who frequently develop urinary tract infections (UTIs) after sexual intercourse reported using condoms, diaphragms or spermicides while engaging in sexual activity. A common belief amongst the urological community is that these barrier contraceptive methods irritate the sensitive tissue in the vaginal and genital areas in women who may be allergic. This irritated tissue then helps create an environment where bacteria can thrive.

The good news is, you don’t have to stop having sex to prevent UTIs. Here are some steps you can take to minimize bacteria buildup and reduce your risk of getting UTIs from sex:
  • Urinate before sex, and promptly after
  • Clean your genital and anal areas before and after sex
  • Stay hydrated and drink plenty of water; this will help rid your urinary tract of bacteria
  • Don’t use a diaphragm or spermicide as your form of birth control
  • If your doctor recommends it, take a prescribed antibiotic after you have sex, or a daily antibiotic
If you do notice the symptoms of a urinary tract infection, seek UTI treatment from your doctor right away. Urinary tract infections are quite common, and unfortunately, getting one puts you at a greater risk of having more in the future. But taking care to minimize the bacteria that enters the urinary tract can help keep you safe from painful urinary tract infections.
 
Tamu [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 

Mkuu hebu soma hii paragraph yako vizuri halaf ndo urudi na point ya msing.

Next time usi-highlight tu uka-copy ukaja uka-paste hapa

LT
 
THE SEX & UTI CONNECTION

ELEWA HIYO TITLE THE UISOME FULL !!! USIKURUPUKE mkuu!!!

Mkuu usi-panic hizi ni habari za kitaalam(in muhongo voice)

Hii ni sehemu ya bandiko lako


Labda nirudie hivi;

UTI SEX CONNECTION IS NOT CLEAR CUT BECAUSE SEXUAL ACTIVITY ITSELF DOES NOT DIRECTLY CAUSE UTI

Narudia tena kusema hivi kalisome tena andiko lako sijaleta comment yangu kichwa kichwa.
 
Soma yote
THE SEX & UTI CONNECTION

ELEWA HIYO TITLE THE UISOME FULL !!! USIKURUPUKE mkuu!!!
 
Hii imekaaje kisayansi?

Mkuu kwa uelewa wangu mdogo sawa kabisa na wa kilaza ipo hivi:

Unywaji wa maji mengi husababisha ukojoe mara kwa mara.

Hali hii inasaidia kuwa- flash wale bacteria katika njia ya mkojo.

Msaada wa maji unakuwepo tu pale infection inapokuwa kwa kiwango kidogo tu.

Infection inapokuwa kubwa hakuna namna inabidi utumie dawa tu.
 
..Msaada wa maji unakuwepo tu pale infection inapokuwa kwa kiwango kidogo tu. Infection inapokuwa kubwa hakuna namna inabidi utumie dawa tu.

Nadhani sasa shida ipo kwenye correct definition ya "infection inapokuwa ndogo". Ni wadudu kiasi gani wanaweza kuwa safely flushed off na maji...na ni maji lita ngapi kwa siku ngapi.

Huku mitaani kwenye vijidispensary wadada wengi wamekuwa wakishauriwa kunywa maji "mengi" ili UTI itoke na matokeo yake tunasema imeshakuwa chronic. Mtu mwingine maji mengi kwake ni lita 1 ya maji ya Uhai.
 
Walokole/ Shehe Sharifu wanaoombea misukule imekaaje kisayansi? Babu wa Loliondo na kikombe chake imekaaje kisayansi?

Sayansi na Dini/Imani za watu ni vitu tofauti na vigumu kuelewashana ndugu blessings. Kama mtu anaamini kuna binadamu mwenzake anaweza kumfufua msukule, then I think the best thing ni kumuacha aendelee kuamini hivyo.
 

Mkuu hapa udogo una b- determined hospital mtaalam akikupima anajua hii UTI ipo katika hali gani mostly wanaoshauriwa kunywa maji ni wale wenye + lakini ukishakuwa na ++,+++ &++++ lazima upate matibabu ya dawa

Na kuhusu maji ni kiasi gan,haiina kipimo exactly ila unapaswa kunywa maji ya kutosha ili uende short call vya kutosha.

Kitendo hicho kitakuwa kinasaidia kuwaflash wale wadudu.

Sijui kama nimejibu swali ipasavyo bosi wangu
 
Mitindo ya kufanya mapenzi nayo huchangia maambukizi ya UTI.. wanaume wakati wakijivinjari kiutu uzima wamekuwa wakipitisha vidole kwenye tundu la haja kubwa la mwenzake halafu kidole hichohicho anakitumia kuchezea mbele (kimjini wanasema anamnawa nyuma na mbele) bila kuosha vidole. kirahisi kabisa vijidudu vinaleta madhara mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…