middo JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 207 Reaction score 56 May 23, 2014 #1 Habari wadau. Naomba kufahamu ni baada ya mda gan mimba ikishatunga kipimo cha mimba cha kutumia mkojo kinaweza kutoa majibu thabiti? Yaan baada ya muda gani baada ya sex msichana anaweza kutumia hicho kipimo akapata majibu yenye ukweli!
Habari wadau. Naomba kufahamu ni baada ya mda gan mimba ikishatunga kipimo cha mimba cha kutumia mkojo kinaweza kutoa majibu thabiti? Yaan baada ya muda gani baada ya sex msichana anaweza kutumia hicho kipimo akapata majibu yenye ukweli!
Ndetirima JF-Expert Member Joined Oct 4, 2011 Posts 1,008 Reaction score 786 May 23, 2014 #2 Baada ya wiki mbili majibu yanaonekana vizuri sana.
middo JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 207 Reaction score 56 May 23, 2014 Thread starter #3 wiki moja inakuaje inaweza yakawa si ya kweli?? Ndetirima Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Z zedlyn JF-Expert Member Joined Mar 14, 2012 Posts 1,492 Reaction score 1,072 May 23, 2014 #4 middo said: wiki moja inakuaje inaweza yakawa si ya kweli?? Ndetirima Click to expand... Inaweza kuonyesha lakini ule mstari wa pili unakuwa faint sana lakini wiki 2 inaonesha vizuri kabisa huna haja ya kusugua macho Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
middo said: wiki moja inakuaje inaweza yakawa si ya kweli?? Ndetirima Click to expand... Inaweza kuonyesha lakini ule mstari wa pili unakuwa faint sana lakini wiki 2 inaonesha vizuri kabisa huna haja ya kusugua macho
Mshawa JF-Expert Member Joined Sep 6, 2011 Posts 783 Reaction score 321 May 23, 2014 #6 Baada ya masaa 72 chukua mkojo pima utapata majibu.
E enhance JF-Expert Member Joined Apr 10, 2014 Posts 449 Reaction score 176 May 24, 2014 #7 siku tisa