Urine pregnancy test

Urine pregnancy test

middo

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Posts
207
Reaction score
56
Habari wadau.

Naomba kufahamu ni baada ya mda gan mimba ikishatunga kipimo cha mimba cha kutumia mkojo kinaweza kutoa majibu thabiti?

Yaan baada ya muda gani baada ya sex msichana anaweza kutumia hicho kipimo akapata majibu yenye ukweli!
 
wiki moja inakuaje inaweza yakawa si ya kweli?? Ndetirima
 
Last edited by a moderator:
wiki moja inakuaje inaweza yakawa si ya kweli?? Ndetirima

Inaweza kuonyesha lakini ule mstari wa pili unakuwa faint sana lakini wiki 2 inaonesha vizuri kabisa huna haja ya kusugua macho
 
Last edited by a moderator:
Baada ya masaa 72 chukua mkojo pima utapata majibu.
 
Back
Top Bottom