si dhani kama ni kwel ika detect kwa sku 2 or 3...! kama ukiangalia kwenye princple ya HCG(Human chorionic gonadotropin) hormone huwa ina be release baada ya week 2 na ndio inayo pelekea kichefuchfu.& na dalili zote za mimba ivyo basi ili kudetect earl pregnancy ni lazma iwe zaidi ya week 2 ambayo itakuwa exess kwenye urine...nasema iv kwasababu syo kwamba HCG aipo kwa kila mwanamke ipo ata kama hauna mimba ad kwa mwanaume pia ipo...ila ukipma kwenye UPT hakiwez detect sababu inakuwa aiko nyngi....ivyo basi mimba ya chni ya week 2 hakiwez soma..!!!