Urine pregnant test

Urine pregnant test

Pima tena. Huwa hazina acuracy sana km umewahi kupima. Homrmone (hCG) zinazokua detected zinakua sio za kutosha kuleta positive results

Asante ntapima tena mpaka saiv mwez mwingine na cjaona cku zangu
 
si dhani kama ni kwel ika detect kwa sku 2 or 3...! kama ukiangalia kwenye princple ya HCG(Human chorionic gonadotropin) hormone huwa ina be release baada ya week 2 na ndio inayo pelekea kichefuchfu.& na dalili zote za mimba ivyo basi ili kudetect earl pregnancy ni lazma iwe zaidi ya week 2 ambayo itakuwa exess kwenye urine...nasema iv kwasababu syo kwamba HCG aipo kwa kila mwanamke ipo ata kama hauna mimba ad kwa mwanaume pia ipo...ila ukipma kwenye UPT hakiwez detect sababu inakuwa aiko nyngi....ivyo basi mimba ya chni ya week 2 hakiwez soma..!!!

Sijaongea tu kujifuruhisha ni kitu nimeona ndio maana nikasema, kama sio rahisi basi kuna wengine imeonesha within 3 days, wakati mwingine inategemea na mtu may be.
 
Sijaongea tu kujifuruhisha ni kitu nimeona ndio maana nikasema, kama sio rahisi basi kuna wengine imeonesha within 3 days, wakati mwingine inategemea na mtu may be.

umeshinda mkuu....
 
Back
Top Bottom