sajo
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 3,474
- 6,195
Kwa nini hamtaki zigawanywe?Mimi sio msimamizi bali ni moja ya watoto wa bi mkubwa ambao hatutaki mali zigawanywe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini hamtaki zigawanywe?Mimi sio msimamizi bali ni moja ya watoto wa bi mkubwa ambao hatutaki mali zigawanywe.
Lazima mchague msimamizi wa mirathi kati yenu. Mkishagawana, kuna mali mnaweza uza hela ikagawanywa. Lakini kuna nyumba mnaweza acha mkasema hii haitauzwa bali itamilikiwa na watoto wote kwa pamoja. Kwenye mgawo, hao watoto na nyie mnahaki sawa regardless wenzenu mama yao alikuja baadaye. Mirathi sio issue ya ndoa ambayo tunaangalia nani alichuma nini, labda kama kungekuwa na nyumba mbili mngegawa wengine huku, wengine kule.Wanasapotiwa pesa ya kula, pa kulala papo (hiyo nyumba husika) wenyewe wanachotaka ni kupewa kila kitu na kula bata kwa minajili ya mali za urithi