Lyamber
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 11,716
- 18,828
hapo ilibidi iwe ni noble profession jombaa..halafu mahakama kwa kutumia jaji/hakimu hutoa uamuzi juu ya swala lililopo mbele yake pia swala kwamba mahakama inatengeneza sheria au la hilo swala ni controversial lakini kwa tanzania statutes ndo ni authority kamili then judge anaweza resort to precedents kama kuna lacuna ama whatever ila kwa common law wao judges do make laws etc..inaonekana wote nyie ni mabush lawyer enh...Wewe acha kupotosha mahakama inafanya maamuzi kwenye makosa ya madai na inahukumu kwenye makosa ya jinai......na kuna maamuzi yanayofanywa na mahakama ni sheria(PRECEDENT) kuna mazingira flani mahakama inatoa mwongozo unaofanana na kutunga sheria...ZOMBA kama hujakaa darasani kusoma sheria usijaribu kupotosha watu umu sheria is a noble proffessional don dare to put your politics.