Mwanafalsafa
Platinum Member
- Jun 24, 2007
- 673
- 865
Kuna watu humu naonaga wanaumia kuhusu urithi (legacy) ya Magufuli mpaka wanajenga hoja eti inalazimishwa kwa nguvu.
Mi nawaambiaaga ni watu wenye akili kubwa tu tunaoelewa urithi wa Magufuli.
Haya muoneni na huyu Rais wa Shelisheli, naye ameungana na akili kubwa waliomuelewa Magufuli.
Au kuna watu wamemlazimisha kusema haya aliyoyasema?
" With these words, I would like to pay tribute to the exceptional African leaders who have recently passed. Late President John Pombe Magufuli was an extraordinary leader and a true visionary. His achievements for the people of the United Republic of Tanzania bears true testament to his lasting legacy."
- Wavel Ramkalawan (Rais wa Shelisheli) akihutubia kikao cha wakuu wa nchi za SADC jana tarehe 17-8-2021
Chanzo: Maiden Speech of President Wavel Ramkalawan on the occasion of the 41st Summit of SADC Heads of States and Government
-------
Kwa wapenzi wa picha, Mh. Rais ndo huyu hapa. Mwafrika mwenzetu wa nywele za kipilipili. Ni saluti kubwa sana kuona anamkubali mwafrika mwenzie, maana waafrika huwa hatufagiliani.