Urithi wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli

Ameacha nchi ni masikini zaidi kuliko alivyoikuta hopeless kabisa huyu kichaa
Habari.

Kuna watu waliimba na kuhubiri,
Kusujudu na kurukaruka.
Kunywa bia na kuponda bata la kufa mtu kwamba kwa maisha yao yatakuwa bora mno baada ya Magufuli.

Leo ni miezi 8 bila Magufuli lakini kila wakigeuka huku hakuna umeme, wakigeuka hakuna maji ,wakigeuka huku mbolea lakini moja, wakigeuka huku wanafukuzwa kwenye migodi ,wakigeuka huku wanafukuzwa kwenye mitaa, wakigeuka huku Mungu wao yuko jela kwa ugaidi.

Leo ndiyo wamejua Magufuli alikuwa anafanya kwa ajili yao?
Jinga kabisa na bado mtaendelea kuwa watumwa hivyo hivyo.
Waliowadanganya wamtukane Magufuli wote wamepata mabwana Ulaya wanalishwa bure.

Malipo ni hapa hapa duniani.
 
Mimi nasema mara mia mbili hali hii kuliko yale maisha chini ya mwendakuzimu. Hata huko aliko afe tena
 
Hawajui hata uchaguzi wa 2015 tulimchagua JPM na siyo CCM.
 
Ndimala Tegambage, Mhariri wa Mtanzania Dr Ulimboka na wengine ni JPM siyo?
 
Una maana nao walikutwa kwenye viroba?
Hilo la viroba acha kabisa, usione nchi ipo ilipo ukafiri ni simple, kawaulize msumbji waliliona la kawaida kinachotokea wanakijua, majeshi kutoka nje yapo huko.
 
Achana na kibiti kabisa.

Aliyeweka watu kwenye viroba ni mwovu sana!

Aliyewapoteza kina Lijenje, Azory au Ben ni mwovu, hana utu na heri ya ibilisi kuliko yeye.
 
Aliyeweka watu kwenye viroba ni mwovu sana!

Aliyewapoteza kina Lijenje, Azory au Ben ni mwovu, hana utu na heri ya ibilisi kuliko yeye.
Pole sana hujui nchi inalindwaje, siyo kosa lako. Kwa akili zako uanfiri Rais anatoa amri aua Azory au.... POLE SANA
 
Pole sana hujui nchi inalindwaje, siyo kosa lako. Kwa akili zako uanfiri Rais anatoa amri aua Azory au.... POLE SANA

Unayasoma wapi ya nani anatoa amri?

Ninakazia:

"Aliyeweka watu kwenye viroba ni mwovu sana!

Aliyewapoteza kina Lijenje, Azory au Ben ni mwovu, hana utu na heri ya ibilisi kuliko yeye."
------

Vipi ulikuwa mmoja wao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…