Urithi wetu Festival Tanzania - East Africa.

Emc2

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
16,808
Reaction score
16,887
Wizara ya Maliasili & Utalii kwa kushirikiana na sekta binafsi imeuchagua mwezi Septemba kila mwaka kuwa mwezi wa Tamasha la Urithi. #UrithiFestival#Tanzania

Kauli mbiu ya maonesho ni "Urithi wetu Fahari Yetu"

UrithiFestivalTz (@UrithiTanzania) | Twitter


Nitakuwa nawaletea matukio ya maonesho haya mwezi huu mzima. East Africa inakua kwa kasi. Leo 15/09/2018 ndio uzinduzi wa Festival.
Kutakuwa na Nyama choma za wanyama pori.
Uzinduzi unafanyika Dodoma.





 
Urithi wetu Fahari Yetu
 

Attachments

  • 1537003259819.png
    235.8 KB · Views: 39
Live Urithi wetu - Uzinduzi

 


 

Attachments

  • 1537004420507.png
    306.5 KB · Views: 37
Tunahitaji ekari 50 hivi zigawanywe kwa mithili ya eneo makabila ya Tanzania yalipo Ndani ya Ramani ya Tanzania, ndani ya maeneo hayo ya makabila ziwekwe shughuli za urithi wa hayo makabila. Hii iwe dodoma.To be Very huge and important place for historians.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…