Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,887
Wizara ya Maliasili & Utalii kwa kushirikiana na sekta binafsi imeuchagua mwezi Septemba kila mwaka kuwa mwezi wa Tamasha la Urithi. #UrithiFestival#Tanzania
Kauli mbiu ya maonesho ni "Urithi wetu Fahari Yetu"
UrithiFestivalTz (@UrithiTanzania) | Twitter
Nitakuwa nawaletea matukio ya maonesho haya mwezi huu mzima. East Africa inakua kwa kasi. Leo 15/09/2018 ndio uzinduzi wa Festival.
Kutakuwa na Nyama choma za wanyama pori.
Uzinduzi unafanyika Dodoma.