Uroho wa waarabu, Trump na Netanyahu utaimaliza dunia haraka. Ni muda wa wenye hekima kuwakimbia

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
10,509
Reaction score
16,734
Tukianza na Donald Trump kuwakilisha mabwanyenye wa Marekani ni kuwa ni waroho sana wa mali kiasi kwamba kila kitu wanataka wakabidhiwe wao ili wawagawie wengine kwa uchoyo na dhulma.

Upande wa Benjamini Netanyahu kama muwakilishi wa mayahudi waliolaaniwa na Mungu wana uroho wa hali ya juu ya kuhodhi ardhi zote duniani.Wanatamani kila sehemu duniani itajwe ni ya kwao na wawajengee nyumba watu wanaoamini ni wenzao.Kwa fikra hiyo wanaitaka Gaza yote na ukingo wa magharibi.Wanajipenyeza Lebanon na Syria kwa nguvu.

Ama kwa upande wa waarabu wa mashariki ya kati ni waroho sana wa madaraka wako tayari hata ndugu na wenzao wauliwe na kudhalilishwa wote ilimradi wao wabaki madarakani na kuifaidi dunia bila kuwaza kuwa ufalme wa kweli ni wa Mungu na starehe zisizoisha ziko akhera pekee.Picha halisi ya waarabu unaiona pale wanawake na watoto wakiuliwa jirani mlango wa pili huku wao wakijifanya kama hawaoni wala kusikia kinachoendelea.

Katika hali hiyo ni muda muwafaka watu wenye hekima popote pale duniani kujiweka mbali na makundi hayo maovu ili kupunguza hasira za Mungu ambazo zikija hazitochagua.
 
Mbona Janjaweed Arab Militias wanapoua Waafrika wenzetu huwa hamji humu kufungua nyuzi za kuwatetea Waafrika.
Wenye akili huwa hawaendekezi mambo ya ukabila na ubaguzi wa rangi na huwa hawapendi kukaa karibu na watu waliokumbwa na mashetani.
 
Wenye akili huwa hawaendekezi mambo ya ukabila na ubaguzi wa rangi
Imekuwa hivyo? Sio "Al Abidi" na Makadama wanaouwawa kila siku huko Uarabuni?!

Wewe ni Mnafiki unayeangalia Mwarabu tu.
 
Imekuwa hivyo? Sio "Al Abidi" na Makadama wanaouwawa kila siku huko Uarabuni?!

Wewe ni Mnafiki unayeangalia Mwarabu tu.
Hueleweki unachokisema.Unajaribu kutetea ujinga.
 
Wenye akili huwa hawaendekezi mambo ya ukabila na ubaguzi wa rangi na huwa hawapendi kukaa karibu na watu waliokumbwa na mashetani.
Jibu swali, kwa nini unakwepa kujibu swali..!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…