Urojo unatayarishwaje?na faida zake

Urojo unatayarishwaje?na faida zake

Ulimakafu

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Posts
31,248
Reaction score
13,244
Hiki ni chakula maarufu kwa wenzetu wa kule Zenj.Je kinaandaliwaje? na faida zake kiafya..
 
3ae36cd6cbc9621b86cddf96ee82f59f.png
Tunatamanishana😋
32c33770c852a3df873738b61c716ac5.png
 
Ahahah mambo ya zanzibar hayo tena
Kwa utundu wako sitashangaa kuwa nayo unayajua .
Juzi kaja mchuchu nikampikia uji wa mchele ,alikunywa akawa ananiangalia aamini nikigeuka pembeni ,changanya kuwa ni wa kijijini hajawahi kusikia kuna uji wa mchele 🤣
Kila akiuliza ulijifunzia wapi mimi ooh wakati nasoma nje nilijifunza kwa wazungu huko ughaibuni 🙈
 
Ahaha alikuwa anakuzuga tu huyo njaa ilifika mahala pake
 
Back
Top Bottom