Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahah mambo ya zanzibar hayo tena
Kwa utundu wako sitashangaa kuwa nayo unayajua .Ahahah mambo ya zanzibar hayo tena
Ahaha alikuwa anakuzuga tu huyo njaa ilifika mahala pakeKwa utundu wako sitashangaa kuwa nayo unayajua .
Juzi kaja mchuchu nikampikia uji wa mchele ,alikunywa akawa ananiangalia aamini nikigeuka pembeni ,changanya kuwa ni wa kijijini hajawahi kusikia kuna uji wa mchele 🤣
Kila akiuliza ulijifunzia wapi mimi ooh wakati nasoma nje nilijifunza kwa wazungu huko ughaibuni 🙈
Njaa ilikabana kweli nikaona wacha nikape kilainisha utumbo ili kaweze kuzungusha kiuno badaye ,nikianza mambo yanguAhaha alikuwa anakuzuga tu huyo njaa ilifika mahala pake
Utaki kuwapa nafas wapumue 😂😂Njaa ilikabana kweli nikaona wacha nikape kilainisha utumbo ili kaweze kuzungusha kiuno badaye ,nikianza mambo yangu