Mavindozii JF-Expert Member Joined Oct 20, 2012 Posts 2,111 Reaction score 2,781 Sep 20, 2015 #1 Wakuu wa nchi wapi nitapata Dr wa mambo ya Urologist kwa wanaume, niko Arusha mjini. Msaada please.
lowale JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 209 Reaction score 108 Sep 20, 2015 #2 Pole sana Nenda moshi karibu na ofisi za bima ya afya mkabala yake kuna kituo cha afya kinajulikana kama Dr Mbwambo. Huyo ni bingwa wa africa mashariki kwa mambo ya urology.
Pole sana Nenda moshi karibu na ofisi za bima ya afya mkabala yake kuna kituo cha afya kinajulikana kama Dr Mbwambo. Huyo ni bingwa wa africa mashariki kwa mambo ya urology.
Mavindozii JF-Expert Member Joined Oct 20, 2012 Posts 2,111 Reaction score 2,781 Sep 20, 2015 Thread starter #3 Asante sana Lowale ,nitaenda hapo
OME123 JF-Expert Member Joined Oct 4, 2010 Posts 1,497 Reaction score 605 Sep 20, 2015 #4 Km ungekuwa mwanza ningekupa namba ya dr.