Urologist (Daktari wa magonjwa ya wanaume) anahitajika

Urologist (Daktari wa magonjwa ya wanaume) anahitajika

Mavindozii

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2012
Posts
2,111
Reaction score
2,781
Wakuu wa nchi wapi nitapata Dr wa mambo ya Urologist kwa wanaume, niko Arusha mjini.

Msaada please.
 
Pole sana Nenda moshi karibu na ofisi za bima ya afya mkabala yake kuna kituo cha afya kinajulikana kama Dr Mbwambo.

Huyo ni bingwa wa africa mashariki kwa mambo ya urology.
 
Km ungekuwa mwanza ningekupa namba ya dr.
 
Back
Top Bottom