Jamani naomba msaada wa hospitali au dakatari bingwa wa urology,prostate inanisumbua sana,maana miaka mitano iliyopita nilifanyiwa TURP lakini sasa nakojoa frequently,retention ya mkojo ni kubwa