urologist

urologist

fimboyaasali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
8,617
Reaction score
8,244
Jamani naomba msaada wa hospitali au dakatari bingwa wa urology,prostate inanisumbua sana,maana miaka mitano iliyopita nilifanyiwa TURP lakini sasa nakojoa frequently,retention ya mkojo ni kubwa
 
Kwanini usirudi hospitali ile ile/kwa daktari yule yule(kama bado yupo), kwa ushauri zaidi?
 
Back
Top Bottom