urubani Jeshini hadi uraiani

urubani Jeshini hadi uraiani

chilubi

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
8,188
Reaction score
6,244
Wakuu habari zenu. Eti kwa mfano mtu unataka kuwa rubani na hali ya kimaisha hairuhusu, lakini duluhisho lipo la kupitia jeshini ili kupata mafunzo, inakuaje? Je unajiunga moja kwa moja na kikosi cha anga kupata mafunzo au kwanza lazima uanze mchakamchaka huku chini (yaani huanzi mafundisho ya urubani unaanza na mafundisho ya vikosi vya ardhi kwanza ndo unapandishwa uko)? Na kama umeingia kikosi cha anga umefanikiwa, unaweza ukaacha mda wowote ujeshi na kujiunga na Civilian transport au kuna mda maalum lazima utumikie jeshi?
 
Back
Top Bottom