Urubani--Kibongobongo

kindili kindili

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2013
Posts
242
Reaction score
54
Wanajamvi ngoja ni share na nyie kidgo..kuna chuo cha urubani ambacho kipo Airport pale, Kinaitwa Tanzania Pilot Trainging centre, nikaona nitembee nijue gharama zake na nk-- basic course wenyewe huiita PPL- 17000$-22000$ na course ya pili ambayo ndo inaunganisha na leseni na ajira ni guarantee ni 47000$, HIVI KUNA RUBANI ATATOKA KWELI MBONGO HAPO, ILA I WAS SUPER INTERESTED NIKAPOTELEE MALAYSIA huko- qualification, miaka kuanzia 17,form 4, physics ianze C B au A- NA mathematics a b c d...Haya jamani nimewamegea taarifa hizo
 
Umekosea spelling hapo kwenye figures au macho yangu?

Hii inanikumbusha mwaka 2010 nilipochaguliwa na TCU nikasomee Medicine (Udaktari) chuo cha IMTU -International Medical & Technological University kipo kule Mbezi Beach. Nikajua ndoto zangu zimetimia.
Nafika naambiwa tuition fees ni USD 4,500 hafu kwa muda huo exchange rate ikiwa 1USD=1,500Tsh. Kwahiyo ada tu kama Mill. 6.75Tsh kwa mwaka. Hafu yale mazagazaga ya direct cost jumla kama Mill. 1.2Tsh hivi.
Nikajipa moyo mbona HESLB wananipa mkopo 100%.
Kuja ulizia zaidi bodi, nikaambiwa 100% yao ina limitation. Maximum ni Mill. 2.6Tsh, endapo tuition fees ya mtu ikizidi hiyo itabidi yeye mwanafunzi aongezee.
Sikua na jinsi zaidi ya kwenda TCU kupiga magoti wanibadirishie course. Na hii ndio inanifanya niangaike hadi sasa, maana walinipangia course ambayo ata katika list ya course ninavyo apply haikuwepo.

Hii nchi ukiwa na ndoto, endelea kulala tu. Kamwe haziji kutimia.

Sasa mtoto wa mkulima kweli hapa si tunadanganyana?
Ila trust me, watu Watanzania kibao wanasoma hapo.

Hivi vyuo vya Tanzania wanaojifanya wanalipisha ada kwa USD wahuni sana. Kwa uchumi huu, ada kila mwaka utaona inaongezeka maana thamani ya pesa yetu inazidi kushuka kila jua likitua.
 
mkuu hizo figure sijakosea kabisa ..yani kwa kifupi iin tsh kama ni PPL- MIL 28 NA USHEEEE...kama ni CPL ni mil 77 NA UJINGA KIBAO... hahaha nilihoji sana kama waswaz wanasoma, wakasema watu wanapata sponsors ila wachache, wengi ni watoto wanaoishi tz ila sio wa tz, kwa kweli sisi wachaga hapa tunasemaga NGACHOKAAAAA
 
kuna jamaa yang alienda kusomea uruban canada Tang 2008 mpaka leo yey ni dayworker tu anaish kwa babake na hana feture yeyote 32yrs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…