Urudishie mwili shukrani, Duniani tunapita

Urudishie mwili shukrani, Duniani tunapita

Kweli kabisa mkuu,
watu WA mikoani ubahili wamezidi,

Nna baba angu mdg, ana pesa balaa,
Na amekua na pesa tangu miaka ya 90,
Ila mpk leo hata gari ya kutembelea Hana,

Anatembelea pikipiki BAJA,
Na Baja yenyewe Ni old model,
Yuko Nayo tangu 2005 Niko form 6 naiona mpya mpk leo hii hanunui mpya.

Yeye pesa zake Ni kununulia matrekta, malori, mashamba na misitu ya mbao.

Ukikaa nae, Story zake ni kuhusu matoleo mapya ya matrekta, aina zote za miti ya mbao na ndo picha kajaza Sana kwenye simu yake

Ukimskiliza anatambiana na wenzie khs ukwasi, Ni nani kanunua scania Kali, trekta kubwa zaidi n.k.

Nyumba yenyewe anapoishi, Ni mgongo WA tembo vyumba 4 na anaishi pale na wake zake wote wawili, Ila mwaka Jana kaagiza trekta la mil 380 na mashine ya kuvunia Magogo ya sh. mil 600+

Ukimcheki mwenyewe Hana hata wazo la kununua gari Wala kubadili au kuboresha nyumba anayoishi.

Alichojitahidi TU Ni wanae anawasomesha shule nzuri (Braeburn)

Huwa nawaza Sana, Pesa zake anazifanyia Nini, yaani Huwa SIMUELEWI.

Kuna MDA huwa nawaza labda ndo Yale ya pesa za MASHARTI naskia, Ila ni napotezea TU.

Ni LIFE STYLE YAKE ALIYOIAMUA
Mkuu huyo bamdogo wako ni mhehe,mkinga au mbena ,😂😂😂
 
Back
Top Bottom