bartaizo
JF-Expert Member
- Jun 19, 2013
- 236
- 91
Huenda ni ndoto isiyoharisia niliipenda fani yangu nikiamini nitaungwa mkono na nchi yangu, ninaumia zaidi kuona hakuna anaye jari fani hii je kunao wanaowezeshwa kuhusiana na mchezo huu!? Ninadhani bado ninandoto ya kulitumikia taifa langu kwa kipaji hiki sijui niende wapi wewe kama mtanzania mwenzangu unanisaidiaje!?
KANISA LA KRISTO
KANISA LA KRISTO