Urusi hali tete nchini Ukraine, hivi sasa inapumulia mashine

Urusi hali tete nchini Ukraine, hivi sasa inapumulia mashine

RUSSIA sio silaha tuu hata chakula hawana wanakula nyasi
Hakuna kipindi media za kimagharibi zimeupiga wakutosha kwenye propaganda kama huu
RUSSIA kwasasa wanatumia maji na manati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
“Muda si mrefu afrika itaanza kuokota watu mabarabarani kama kuku kutokana na COVID-19 ” Mtendaji mkuu wa WHO
UONGO, Hakuna Afisa wa WHO aliyewahi kusema hayo maeneo.
 
Uongo mkubwa
na curve zikachorwa kuwa kilele cha kuokota mizoga ya binadamu waliokufa kwa covid Africa itakuwa May 2020

kuna teja alikotwa kafa maeneo ya Mnazi mmoja Dar es salaam wale WHO wa Tandale kwa Tumbo wakaanza na mbwembwe zao 'Tafiti za Mzungu ' hazidanganyi
 
Hawaelewei
Dictator Putin hawezi kuruhusu shinikizo la kujiuzuru, wakijaribu huwa wanaokotwa kwenye viroba. Kwa UK hiyo ni kawaida, ulizia pia David Cameron alitokaje.
 
Mods wakiona nyuzi zinafanana wataunganisha.
Hapa ndipo Pro NATO wa Tandahimba hamueleweki.

Kulikuwa na umuhimu gani wa kuanzisha thread mpya ya vita ya Ukraine wakati ipo Special thread iliyotengwa kwa ajili ya kuweka update za vita hii?
 
Kwa nini hujawaita wenzako waliopo huko special thread waje huku??
NJOONI SPECIAL THREAD MNAJIFICHA HUKU WAJAMENI Rudini kule mtueleze nguvu za Russia zimeishaje wakati biashara imeshamiri na silaha MPYA ndio zinaingia armary .Zinaishaje wakati miji inatekwa na wapiganaji wa Ukraine wanakimbia mapigano.Zinaishaje wakati Russia anazidi kuuungwa mkono duniani kote
 
Hata mumpe Ukraine silaha zote, Russia hawezi kukubali kushindwa kwenye hii vita kwani ushindi pekee ndio utakao guarantee usalama wa Russia. Zelensky kama ana akili timamu atafute njia bora ya kumaliza hii vita otherwise Ukraine ndio itakayo malizwa
What a brilliant comment - kwa bahati mbaya ni JF members wachache watakielewa wengi wao want imani potofu kwamba makombora types HIMARS na MRLS ndio yatamumaliza Putin na Jeshi lake lote - ndoto za Al Nacha of course.
 
RUSSIA sio silaha tuu hata chakula hawana wanakula nyasi
Hakuna kipindi media za kimagharibi zimeupiga wakutosha kwenye propaganda kama huu
RUSSIA kwasasa wanatumia maji na manati

Sent using Jamii Forums mobile app
Screenshot_2022-07-19-23-52-40-44.jpg
 
Back
Top Bottom