Urusi hali tete nchini Ukraine, hivi sasa inapumulia mashine

RUSSIA sio silaha tuu hata chakula hawana wanakula nyasi
Hakuna kipindi media za kimagharibi zimeupiga wakutosha kwenye propaganda kama huu
RUSSIA kwasasa wanatumia maji na manati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
“Muda si mrefu afrika itaanza kuokota watu mabarabarani kama kuku kutokana na COVID-19 ” Mtendaji mkuu wa WHO
UONGO, Hakuna Afisa wa WHO aliyewahi kusema hayo maeneo.
 
Uongo mkubwa
 
Hawaelewei
Dictator Putin hawezi kuruhusu shinikizo la kujiuzuru, wakijaribu huwa wanaokotwa kwenye viroba. Kwa UK hiyo ni kawaida, ulizia pia David Cameron alitokaje.
 
Mods wakiona nyuzi zinafanana wataunganisha.
Hapa ndipo Pro NATO wa Tandahimba hamueleweki.

Kulikuwa na umuhimu gani wa kuanzisha thread mpya ya vita ya Ukraine wakati ipo Special thread iliyotengwa kwa ajili ya kuweka update za vita hii?
 
Kwa nini hujawaita wenzako waliopo huko special thread waje huku??
 
Hata mumpe Ukraine silaha zote, Russia hawezi kukubali kushindwa kwenye hii vita kwani ushindi pekee ndio utakao guarantee usalama wa Russia. Zelensky kama ana akili timamu atafute njia bora ya kumaliza hii vita otherwise Ukraine ndio itakayo malizwa
What a brilliant comment - kwa bahati mbaya ni JF members wachache watakielewa wengi wao want imani potofu kwamba makombora types HIMARS na MRLS ndio yatamumaliza Putin na Jeshi lake lote - ndoto za Al Nacha of course.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…