Urusi iko mbioni kuanzisha Wizara ya ngono

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Ni kwamba huyu baba nchi ishamshinda au Urusi rasmi imegeuka kuwa Chaneli ya vichekesho.

Hivi karibuni imeripotiwa kuwa Urusi inafikiria kuanzisha “wizara ya ngono” kama njia ya kushughulikia tatizo la kupungua kwa idadi ya watu kuzaliwa nchini humo.

Nina Ostanina, mwenye umri wa miaka 68 na mtu anayeaminiwa na Rais Vladimir Putin, anayeongoza Kamati ya Ulinzi wa Familia katika Bunge la Russia, anapitia ombi linalotaka wizara hii ianzishwe.

Hatua hii ni moja ya juhudi zinazofanywa na serikali za kukabiliana na hali ya kupungua kwa idadi ya watu nchini Russia, hali ambayo imezidi kuwa mbaya kutokana na vita inayoendelea nchini Ukraine.

ACC.png

Kwa mujibu wa gazeti la Mirror, wazo hili linakuja wakati ambapo viongozi wa Russia wanajaribu kuongeza kiwango cha uzazi ili kukidhi wito wa Putin wa kupambana na mzozo wa idadi ya watu.

Huyu ndo mnataka awe mshindani wa Marekani? Kama population growth tu imewashinda wataweza mambo ya vita kweli?

Source: The Mirror, The Hindustan Times
 
Ni wazo zuri pia idadi ya watu lazima iongezwe kwa kufanya ngono au wewe ndugu mwandishi ulitaka Putin aanzishe maabara ya kutotolesha binadamu wakati watu wapo wanaoweza kuzalishwa? Hapo ni kutoa promosheni tu kwa Nchi za Afrika ziende kuongeza idadi ya warusi km alivyoahidi kupambana na ugaidi Afrika
 
Hatua hii ni moja ya juhudi zinazofanywa na serikali za kukabiliana na hali ya kupungua kwa idadi ya watu nchini Russia, hali ambayo imezidi kuwa mbaya kutokana na vita inayoendelea nchini Ukraine.
Putin aweke motisha ya kuvutia miamba kutoka Afrika kama huyu:-
Baltasar Ebang Engonga
 
Wakuu,

Ni kwamba huyu baba nchi ishamshinda au Urusi rasmi imegeuka kuwa Chaneli ya vichekesho.

Hivi karibuni imeripotiwa kuwa Urusi inafikiria kuanzisha “wizara ya ngono” kama njia ya kushughulikia tatizo la kupungua kwa idadi ya watu kuzaliwa nchini humo.

Nina Ostanina, mwenye umri wa miaka 68 na mtu anayeaminiwa na Rais Vladimir Putin, anayeongoza Kamati ya Ulinzi wa Familia katika Bunge la Russia, anapitia ombi linalotaka wizara hii ianzishwe.

Hatua hii ni moja ya juhudi zinazofanywa na serikali za kukabiliana na hali ya kupungua kwa idadi ya watu nchini Russia, hali ambayo imezidi kuwa mbaya kutokana na vita inayoendelea nchini Ukraine.

Kwa mujibu wa gazeti la Mirror, wazo hili linakuja wakati ambapo viongozi wa Russia wanajaribu kuongeza kiwango cha uzazi ili kukidhi wito wa Putin wa kupambana na mzozo wa idadi ya watu.

Huyu ndo mnataka awe mshindani wa Marekani? Kama population growth tu imewashinda wataweza mambo ya vita kweli?

Source: The Mirror, The Hindustan Times
BORA PUTIN VP HUYO NATO HAPO NA WIZARA YAO LGBT WAO NDO MAMBO HAYAJAWSHINDA
 
Back
Top Bottom