Urusi iko mbioni kuanzisha Wizara ya ngono

Wakuu,

Ni kwamba huyu baba nchi ishamshinda au Urusi rasmi imegeuka kuwa Chaneli ya vichekesho.

Hivi karibuni imeripotiwa kuwa Urusi inafikiria kuanzisha “wizara ya ngono” kama njia ya kushughulikia tatizo la kupungua kwa idadi ya watu kuzaliwa nchini humo.

Nina Ostanina, mwenye umri wa miaka 68 na mtu anayeaminiwa na Rais Vladimir Putin, anayeongoza Kamati ya Ulinzi wa Familia katika Bunge la Russia, anapitia ombi linalotaka wizara hii ianzishwe.

Hatua hii ni moja ya juhudi zinazofanywa na serikali za kukabiliana na hali ya kupungua kwa idadi ya watu nchini Russia, hali ambayo imezidi kuwa mbaya kutokana na vita inayoendelea nchini Ukraine.

Kwa mujibu wa gazeti la Mirror, wazo hili linakuja wakati ambapo viongozi wa Russia wanajaribu kuongeza kiwango cha uzazi ili kukidhi wito wa Putin wa kupambana na mzozo wa idadi ya watu.

Huyu ndo mnataka awe mshindani wa Marekani? Kama population growth tu imewashinda wataweza mambo ya vita kweli?

Source: The Mirror, The Hindustan Times
Hiyo ni fursa kwa wazee wa KATAA NDOA
 
Sex ni biological au physiological attribute inayomfanya mtu kuitwa wakiume au wakike. Yani sex simply ni jinsia na sio ngono.

Sexual intercourse ndio ngono.
Maelezo mazuri, ila Sex ni Jinsi (hali ya kuwa mume au mke kimaumbile). Wakati Gender ni Jinsia (mahusiano ya kimfumo katika jamii baina ya ke na me).
 
Matatizo ya watu weupe, matatizo ya matajiri.
White people problems, rich people problems
 
Sex ni biological au physiological attribute inayomfanya mtu kuitwa wakiume au wakike. Yani sex simply ni jinsia na sio ngono.

Sexual intercourse ndio ngono.
He is right for the definition number 1. below 👇
********************************************
Sex:
noun
1.
(chiefly with reference to people) sexual activity, including specifically sexual intercourse.
"they enjoyed talking about sex"

2.
either of the two main categories (male and female) into which humans and most other living things are divided on the basis of their reproductive functions.
"adults of both sexes"
*******************************************
 
Wakuu,

Ni kwamba huyu baba nchi ishamshinda au Urusi rasmi imegeuka kuwa Chaneli ya vichekesho.

Hivi karibuni imeripotiwa kuwa Urusi inafikiria kuanzisha “wizara ya ngono” kama njia ya kushughulikia tatizo la kupungua kwa idadi ya watu kuzaliwa nchini humo.

Nina Ostanina, mwenye umri wa miaka 68 na mtu anayeaminiwa na Rais Vladimir Putin, anayeongoza Kamati ya Ulinzi wa Familia katika Bunge la Russia, anapitia ombi linalotaka wizara hii ianzishwe.

Hatua hii ni moja ya juhudi zinazofanywa na serikali za kukabiliana na hali ya kupungua kwa idadi ya watu nchini Russia, hali ambayo imezidi kuwa mbaya kutokana na vita inayoendelea nchini Ukraine.

Kwa mujibu wa gazeti la Mirror, wazo hili linakuja wakati ambapo viongozi wa Russia wanajaribu kuongeza kiwango cha uzazi ili kukidhi wito wa Putin wa kupambana na mzozo wa idadi ya watu.

Huyu ndo mnataka awe mshindani wa Marekani? Kama population growth tu imewashinda wataweza mambo ya vita kweli?

Source: The Mirror, The Hindustan Times
As far as I know, may be the Russian regime is planning to establish the 'Ministry of SEXPIONAGE' but not the Ministry of SEX.
 
Putin anataka kuziba pengo la wale Vijana aliyewapeleka wakafe kwenye Vita?!
 
Back
Top Bottom