Urusi iko mbioni kuanzisha Wizara ya ngono

Yaani mkuu unaamini kabisa Putin atamaliza Ugaidi Afrika
 
Uuuh! Yaani hawsna? Sisi toyari tuna Wozara ya Kazi, Jinsia, Watoto, na Makundi Maalum mathalani Walokole au CHADEMA. Hii ninihii yako Mjumbe unasemanini khasa?
 
Heading ya thread iko tofauti na lengo ka kuanzishwa kwa wizara. Neno ngono limeharibu ladha ya kusoma. Kumbe ni wizara inayoshughulika na kupungua kwa idadi ya watu.
 

Kuna taasisi za kidunia unahisi au unahakika, zipo na zimewekwa kupunguza idadi ya watu dumiani. Family planing, vita, ushoga, magonjwa ya kutengenezwa maabara, kama ukimwi, ebola covid, Marburg pox, nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…