Urusi ilivyosema sitishiwi na vifaru vya Ujerumani leopords-2, vitaunguzwa kama vilivyounguzwa vifaru vingine. Kweli imevitia kiberiti

Hii ni aibu kubwa sana kwa NATO.tunasubiri kina T-14 Armata waje watuambie nini hiki maana walikuwa wanaongea kama vile silaha za NATO zinatoka mbinguni[emoji23][emoji23][emoji23].

T-14 Armata ukuje huku kuna zawadi yako

Mnajipa moyo sio counter attacks ndio imeanza mkae mkao wa kula.

Kulipua kifaru kimoja ambapo obviously Ni Jambo la kawaida vitani ndio mnakuja mbiombio kuanzisha uzi[emoji1787][emoji1787].

Kibabu wanaenda nacho mdogomdogo
mpaka ataukubali mziki.
 
Zelensk kama vijana wake alikuwa awapendi basi angewambia tu kuliko kuwafanyia ivi.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mnajipa moyo sio counter attacks ndio imeanza mkae mkao wa kula.

Kulipua kifaru kimoja ambapo obviously Ni Jambo la kawaida vitani ndio mnakuja mbiombio kuanzisha uzi[emoji1787][emoji1787].

Kibabu wanaenda nacho mdogomdogo
mpaka ataukubali mziki.
[emoji23][emoji23][emoji23] yani misafara inalipuliwa alafu wewe unaona kawaida
 
Mnajipa moyo sio counter attacks ndio imeanza mkae mkao wa kula.

Kulipua kifaru kimoja ambapo obviously Ni Jambo la kawaida vitani ndio mnakuja mbiombio kuanzisha uzi[emoji1787][emoji1787].

Kibabu wanaenda nacho mdogomdogo
mpaka ataukubali mziki.
Hii ni vita Sheikh, sio Play station.

'…Bwawa la kuzalisha umeme la Rufiji limechelewa kukamilika kutokana na vita ya Russia na Ukraine inayoendelea '- Serikali
 
Zelensk sijui vijana wake wamemkosea nini mpaka anawafanyia ivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mnajipa moyo sio counter attacks ndio imeanza mkae mkao wa kula.

Kulipua kifaru kimoja ambapo obviously Ni Jambo la kawaida vitani ndio mnakuja mbiombio kuanzisha uzi[emoji1787][emoji1787].

Kibabu wanaenda nacho mdogomdogo
mpaka ataukubali mziki.
Yaani kwa macho yako unaona ni kifaru kimoja tu kimelipuliwa!! Hata kama haujui kusoma, hata picha huwezi kuangalia? Hii picha ya Zelensyky alipiga juzi wakati amelazimika kukubali kuwa ameshaanza counter attacks (maana mwanzoni alikuwa anakataa. Baada ya picha kuenea hakuwa na jinsi isipokuwa ni kutangaza kuwa wameshaanza counter attacks). Uso wake ni wa kukata tamaa, hauna matumaini, na si muda mrefu mabeberu watamgeuka.

Huo uso unaonesha hali si nzuri huko kwenye uwanja wa vita.
 
Mnajipa moyo sio counter attacks ndio imeanza mkae mkao wa kula.

Kulipua kifaru kimoja ambapo obviously Ni Jambo la kawaida vitani ndio mnakuja mbiombio kuanzisha uzi .

Kibabu wanaenda nacho mdogomdogo
mpaka ataukubali mziki.
Mnajipa moyo sio counter attacks ndio imeanza mkae mkao wa kula.

Kulipua kifaru kimoja ambapo obviously Ni Jambo la kawaida vitani ndio mnakuja mbiombio kuanzisha uzi[emoji1787][emoji1787].

Kibabu wanaenda nacho mdogomdogo
mpaka ataukubali mziki.
Jamaa amechanganyikiwa !! Hapo yeye anaona kifaru kimoja tu!!
 
Hizo ni sura za watu wawili tofauti lakini wakiongelea jambo moja: Counter attacks za ukraine dhidi ya majeshi ya urusi. Sura ipi ninaonesha kukata tamaa na ni sura ipi inaonesha ujasiri?

Sura moja naona uso wake unaonesha "matuta" ya kazi!! uso wa kupambana!! Lakini uso mwingine hauthubutu kuonesha hata nusu tuta!! umekata tamaa!! Ni uso wa majuto!!
 
Habari njema sana hii Mkuu. Naamini familia yenu itafaidika sana na hii achievement ya Urusi.
Nafikiri labda hujamwelewa mtoa mada.
Mtoa mada ametuletea habari kama ilivyoripotiwa na vyombo vya habari.
Tena amebalance story kwa kuleta na maneno waliyokua wakisema upande wa NATO kabla ya ujio wa silaha hizo,pia kaleta habari za Sasa hivi kua silaha hizo hazijabadili mwenendo wa vita.
Sioni sababu ya kumkasirikia mtoa mada.
 
Hii ni aibu kubwa sana kwa NATO.tunasubiri kina T-14 Armata waje watuambie nini hiki maana walikuwa wanaongea kama vile silaha za NATO zinatoka mbinguni[emoji23][emoji23][emoji23].

T-14 Armata ukuje huku kuna zawadi yako

T 14 Armata na bwana Proved wako bize sana na majukumu mengine.ila ndege ya Urusi ikidondoshwa watakuja faster.
 
Mnajipa moyo sio counter attacks ndio imeanza mkae mkao wa kula.

Kulipua kifaru kimoja ambapo obviously Ni Jambo la kawaida vitani ndio mnakuja mbiombio kuanzisha uzi[emoji1787][emoji1787].

Kibabu wanaenda nacho mdogomdogo
mpaka ataukubali mziki.
Sio kimoja mkuu walipeleka 8 ila vi5 vyote vimegeuzwa chuma chakavu
 
Hivi nashindwa kuwaelewa wabongo kwamba ndio mawazo mgando au akili finyu sijui, katika vita kuna silaha isiyoharibiwa? Urusi na silaha zao wamekalishwa na ka nchi kadogo hadi sasa.

Kiuhalisia binafsi naona Urusi ndio wanaodhalilishwa, supa pawa up to now anakimbizwa na kuwindwa na wanamgambo wanaotegemea msaada tu kutoka nje hivi hii imekaaje?

Urusi wametia aibu ile mbaya, wao warusi sasahivi wamebaki wanategemea nukes ila makombora sijui nini yale yenye kasi zaidi ya sauti yalikuwa ni biashara tu kama kawa, Putin hamna kitu kabisa.

Tumeshuhudia USA wakimpa mtu kichapo ndani ya wiki tu, Kabul ilishatekwa na Baghdad within less than a week ilishatekwa, so najiuliza hii Urusi ni ile ilokuwa ikisifiwa kabla ya vita au ni Urusi ya huku Afrika?
 
Mkuu Ujerumani ndio kwanza inapeleka mifumo mipya Ukraine juzi wametangaza, fuatilia uwanja wa vita nini kinajiri usijifariji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…