Urusi imepoteza wanajeshi 100,000. Hiyo ni sawa na ukijumuisha JWTZ, KDF, UPDF, RDF na uche

Sja elewa vizuri yaani east Africa Ina Wana jeshi laki moja?

Yeah, active personel, Tanzania wapo 27,000 na Kenya 24,100 yaani kwa kifupi ingekua EAC inapigana na Ukraine, wanajeshi wetu wote wangekua wamefutwa, wakiwemo hata wakuu wote jeshini yaani officers and staff.
Ndege zilizofyekwa za Urusi zinazidi jumla ya mataifa tano Afrika.
 
Wote hao ni malaika wanaenda kuwasaidia warusi wenzao ahera............sasa nyie wakunya hamtaacha kuona rangi zote


DRAGONFLY
 
Nasikitika kupata habari hizi mkuu. hatuku stahili kuwa hapa tulipo hata kidogo! pia nashukuru kwa kunitoa tongo tongo mkuu Tanzania tuna Safari ndefu mnoo
 
Kosa hilo kutoa idadi ya wanajeshi wetu wakati wewe si adui na si msemaji wa jeshi.
 
Kosa hilo kutoa idadi ya wanajeshi wetu wakati wewe si adui na si msemaji wa jeshi.

Acha mambo ya kizamani yaliyopitwa na wakati enzi zile, leo takwimu zote zipo wazi, kafuate taarifa za military power ranking by countries ujifunze kitu.
 
acheni URUSI iitwe URUSI hizi jamba jamba zenu watu wa magharibi zitafikia ukingoni... ni suala la muda...
duh huyu huyu Urusi ilibebwa na USA ili kumtoa Hitler ndan ya Nchi yake
 
mnapopiga mwizi huwa mnamuuliza wema wake ? au ndo ukichaa wenu unawasumbua , Urusi ni mvamiz so tunaangalia mvamiz mpk sasa kaumiaje
 
Hii taarifa ni ya US wamesema 200k pamoja wa Ukrain na Russia.

Sasa hii habari Mbona hawajaweka idadi ya fatalities wa ukrain
ktk thread zako za nyuma ulisema Urusi kaamisha Kherson hakuna watu sasa wale waliwapokea Jeshi la ukraine ni nyani? tuanzie hapo
 
anadanganya nyumb za kirus kuwa anapigana na NATO
 
Wanywa gongo aliofukuzia na kulazimisha kwenda kupigana wanapukutika kama senene, amefungulia hadi wafungwa gerezani...
Askari wa russia mwanzoni ndo walipukutika, siku tano za mwanzo, juu walikuwa wanawadharau Ukrainians,, baada ya hapo ukrain ndi wanakufa mno, maana mrusi sasa anatumia zaidi drones na makombora, kuliko vita vya ana kwa ana
 
Askari wa russia mwanzoni ndo walipukutika, siku tano za mwanzo, juu walikuwa wanawadharau Ukrainians,, baada ya hapo ukrain ndi wanakufa mno, maana mrusi sasa anatumia zaidi drones na makombora, kuliko vita vya ana kwa ana

Hai urusi amekwenda kuokoteza mgambo, askari wote wa akiba, hadi akafungulia wafungwa wakapigane, ni wazi wameishiwa, Warusi wanafanywa cannon fodder, wanamalizwa kama senene kwenye nchi ya watu.
 
ha ha haaa. acha uongo wakati hapo alipo anapumilia mashine anaajiri tu wafungwa na wasyria kule syria si unajua hamna kazi njaa kali?
 
MK254 soma hiyo...

Hehehe maustadh sijui nani amewashikilia akili, Ukraine hata mkiua milioni watapambana mpaka wa mwisho maana nchi yao imeingiliwa, mjifunze na kilicho wakuta Marekani kule Vietnam, unaua ila wanaendelea kushambulia kizalendo, wanakuja kama moto.
Epuka kiherehere cha kuingilia watu kwenye nchi yao, Warusi wameishiwa na wanajeshi hadi wanaokoteza vijiweni na bado wataendelea kufa kama senene....
 
Hao wanajeshi wote nearly 90% ni wanaume hivyo itapelekea upungugu wa wanaume wa wakuwaoa wanawake waliopo . Hii itapelekea shortage of wanaume nchini laki moja sio idadi ndogo hata siku moja
 
kwanini we mzee hua unashindwa kuripoti kuhusu ukame /njaa inayokumba kenya! wewe kila siku Russia/Ukraine tuu una akili kweli wewe??
 
Tuambie pia NATO imepoteza wangapi, Marekani imepoteza wangapi na Ukraine pia imepoteza wangapi.

Siku Urusi ikianza kupigana na NATO au Marekani utaambiwa, ila kwa sasa wacha waendelee kupokea kichapo cha Ukraine kainchi kadogo....takbir
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…