Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Futa hiyo headline, Ursula von der Leyen kakuumbua.Hehehe maustadh sijui nani amewashikilia akili, Ukraine hata mkiua milioni watapambana mpaka wa mwisho maana nchi yao imeingiliwa, mjifunze na kilicho wakuta Marekani kule Vietnam, unaua ila wanaendelea kushambulia kizalendo, wanakuja kama moto.
Epuka kiherehere cha kuingilia watu kwenye nchi yao, Warusi wameishiwa na wanajeshi hadi wanaokoteza vijiweni na bado wataendelea kufa kama senene....
Bosi wa EU ameshasema zaidi ya wanajeshi 100,000 wa Ukraine wamekufa, wewe ni nani wakubisha. Imeisha hiyo...Ndio nini hii umeandika...mnachanganyikiwa sana nyie watu.
Bosi wa EU ameshasema zaidi ya wanajeshi 100,000 wa Ukraine wamekufa, wewe ni nani wakubisha. Imeisha hiyo...
I'm a devoted christian, huo ustadh umenipa wewe?Sikia ustadh....
Ardhi isichukuliwe mara ngapi? Hayo majimbo yaliyochukuliwa unafikiri ni ardhi ya wakikuyu?Nimekuambia wapo radhi kufa milioni hadi wa mwisho lakini ardhi yao haichukuliwi, mjifunze na kilichowakuta Marekani kule Vietnam, sasa hivi Urusi ameishiwa wanajeshi mpaka anaokoteza mitaani, kajiingiza kwenye shimo ambalo hatoki.
I'm a devoted christian, huo ustadh umenipa wewe?
Ardhi isichukuliwe mara ngapi? Hayo majimbo yaliyochukuliwa unafikiri ni ardhi ya wakikuyu?
Urusi alikua amejaribu kuparamia hadi Kyev ila akapokea za uso na amepelekeshwa tangu Kyev mpaka hapo alipo na vita vitaishia Crimea maana huko ndiko vilianzia.
Alisema atatumia kila mbinu kulinda hayo maeneo aliyoyapigia kura, kaanza kuyapoteza na hajafanya lolote la maana, hao wanywa gongo aliokusanya vijiweni hamna jipya wanauawa kama senene....akbar akbar takbir
Unadanganya umma, jana Kamishna wa EU Ursula kasema Ukraine soldiers 100K na civiliana 20K wamefariki, Zelenskky kachukia hiyo report na imeondolewa vipande vya idadi waliokufa. Hii ya kwako sijui umeipata wapi na baridi imeanza hapo Ukraine .Tweets za nini unahangaika nazo ustadhi, Mrusi aliingia cha kike kwenye hivi vita, ameishiwa wanajeshi na kudhoofishwa na kainchi kadogo saizi ya mkoa mmoja wa Urusi.
Unadanganya umma, jana Kamishna wa EU Ursula kasema Ukraine soldiers 100K na civiliana 20K wamefariki, Zelenskky kachukia hiyo report na imeondolewa vipande vya idadi waliokufa. Hii ya kwako sijui umeipata wapi na baridi imeanza hapo Ukraine .
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Ukraine na Ulaya na Marekani wameungana lakini badoMimi nilijua Ukraine wamekufa milioni moja kwa ambavyo Mrusi ameingia hasara, nilidhani silaha zake zote hizo kafanya makubwa maana amedhoofishwa na kuishiwa, kha!! Mbona ana mtihani mkubwa maana kwa hapo alipo anaokoteza hadi vijiweni....
Tweets za nini unahangaika nazo ustadhi, Mrusi aliingia cha kike kwenye hivi vita, ameishiwa wanajeshi na kudhoofishwa na kainchi kadogo saizi ya mkoa mmoja wa Urusi.
Ukraine na Ulaya na Marekani wameungana lakini bado
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Wapekee mkuu [emoji91][emoji91][emoji91]Tweets huwa hata sizifungui, Mrusi ameishiwa....