Urusi imepoteza wanajeshi 100,000. Hiyo ni sawa na ukijumuisha JWTZ, KDF, UPDF, RDF na uche

Hakuna kipindi kigumu katika vita kama kipindi cha baridi,Urusi itajui haihui katika kipindi hiki cha baridi,watanyooka wengi mno hata mara mbili ya idadi hiyo
 
Kumbuka warusi hawapendi kuzaq hovyo na mapaka wanalipwa ili kufanya hivyo,in this case taarifa zinasema urusi itaanza kupungukiwa na raia siku za usoni
 
[emoji23][emoji16][emoji23][emoji16][emoji23][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbuka warusi hawapendi kuzaq hovyo na mapaka wanalipwa ili kufanya hivyo,in this case taarifa zinasema urusi itaanza kupungukiwa na raia siku za usoni
Rudia kusoma ulichokiandika.
 

Propaganda tu hizo za mataifa ya Magharibi!
 
Hiyo taarifa yako umekosea [emoji1787][emoji1787][emoji115]ni Ukrain iliyo poteza wanajeshi zaidi ya 100000 moja na NATO imesha poteza wanajeshi zaidi ya 9000 hadi sasa hivi
 
Acha uongo wewe, ana wanajeshi wengi wakati wamepeleka wa jkt pamoja na wafungwa baada ya nguvu kazi ya jeshi kupungua.
Hao jkt na wafungwa ndiyo wameteketeza zaidi ya makomando 100000 wa ukrain na makomando zaidi ya 9000 wa NATO ...sasa jiulize siku russia ikipeleka makomando wake ukrain itabaki mafufu tu
 
Ungetupa na mrejesho kuhusu wanajeshi wa Ukraine waliokufa! Kama uko upande wa Ukraine ukijua idadi hiyo utazimia.
 
Killed or wounded, umeelewaje hapo ndugu mwandishi 😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…