Urusi imepoteza wanajeshi 100,000. Hiyo ni sawa na ukijumuisha JWTZ, KDF, UPDF, RDF na uche

Wanywa kahawa wanashindwaga kuelewa .

Vita ngumu ni ile unaenda kwa mwenyeji.lazima kupoteza wanajeshi wengi.
Mfano USA.
alipoenda Vetnam na iraq
 
Katika maneno 100 ya wakenya chukua neno moja mengine yote ni ya uongo.
 
Hakuna mwanajeshi hata mmoja wa urusi anayepigana ukraine, mnahangaika na migambo tu tena jeshi binafsi
 
MK254 hebu nikumbushe Kenya amepoteza wangapi pale Garissa na kule Somalia. Tuongee ya nyumbani tuache ya ughaibuni kidogo.
 
MK254 hebu nikumbushe Kenya amepoteza wangapi pale Garissa na kule Somalia. Tuongee ya nyumbani tuache ya ughaibuni kidogo.

Kule tunapigana na watu wa dini yenu wanaowahi kupewa mabikira...
 
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…