Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Urusi imeshawahi kuiwekea vikwazo vya aina yoyote ile Marekani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes kipindi cha vita baridi kati ya marekani na urusi walivyopigana vita vya kiuchumi kwa miaka zaidi ya 100Urusi imeshawahi kuiwekea vikwazo vya aina yoyote ile Marekani?
Urusi imeshawahi kuiwekea vikwazo vya aina yoyote ile Marekani?
Vikwazo vya russia kwa US havina impact yoyote, ni kama vile unamnunia bosi wako wa kazi au mwenye nyumba wakoUrusi imeshawahi kuiwekea vikwazo vya aina yoyote ile Marekani?
Hii miaka zaidi ya 100 ni ipi Tena. Hapa upetupiga kamba aiseeYes kipindi cha vita baridi kati ya marekani na urusi walivyopigana vita vya kiuchumi kwa miaka zaidi ya 100
Huyu Chief wa CIA Burns ndo alikuwa Balozi wa USA nchini Russia mwaka 2015/2018? Na Babake Mej General alishiriki nadhani kwenye majadiliano flani huko nchi za Ki SOVIET...au Sina kumbukumbu sahihi?Russia announces sanctions on Biden and several top US officials
Alongside Biden, US officials on the list included Defense Secretary Lloyd Austin and CIA chief William Burns.
====
![]()
Russia announces sanctions on Biden and Trudeau
Alongside Biden, US officials on the list included Defense Secretary Lloyd Austin and CIA chief William Burns.www.google.com
Wewe unaweza kumuwekea Bakhresa vikwazo ?Urusi imeshawahi kuiwekea vikwazo vya aina yoyote ile Marekani?
Nadhani huwezi kuwa Balozi bila kuwa shushushu, hasa kwa vyeo vya juuHuyu Chief wa CIA Burns ndo alikuwa Balozi wa USA nchini Russia mwaka 2015/2018? Na Babake Mej General alishiriki nadhani kwenye majadiliano flani huko nchi za Ki SOVIET...au Sina kumbukumbu sahihi?
Kama yeye basi, hivi USA mtu anaweza kuwa chief wa CIA bila kufanya kazi CIA hadi kwenye rank za juu kabisa za CIA? Make jamaa sikuwahi kusikia kama aliwahi kupitia hapo CIA wakati wa utumishi wake.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Vikwazo vya russia kwa US havina impact yoyote, ni kama vile unamnunia bosi wako wa kazi au mwenye nyumba wako
Urusi imeshawahi kuiwekea vikwazo vya aina yoyote ile Marekani?
Huyu Chief wa CIA Burns ndo alikuwa Balozi wa USA nchini Russia mwaka 2015/2018? Na Babake Mej General alishiriki nadhani kwenye majadiliano flani huko nchi za Ki SOVIET...au Sina kumbukumbu sahihi?
Kama yeye basi, hivi USA mtu anaweza kuwa chief wa CIA bila kufanya kazi CIA hadi kwenye rank za juu kabisa za CIA? Make jamaa sikuwahi kusikia kama aliwahi kupitia hapo CIA wakati wa utumishi wake.
Siri ya kufanya hivyo ni nini hasa?Chief wa CIA mara nyingi huwa anateuliwa kutoka nje ya CIA. Wengi ambao wamekuwa wakurugenzi wakuu wa CIA sio career spies.
Ndio si sinywi vijuis vyake muulize asas mwanae alipoongea pumbaWewe unaweza kumuwekea Bakhresa vikwazo ?
Kwakuwa wengi hawajui historia ya hii miamba miwili, nafananisha ugomvi wa Russia na US kama MCHAWI anaemloga mwenzie Ili adhoofike na akati huyo mwingine anajitetea na harudishi mashambulizi sasa hapa US ndo Mchawi na RUSSIA anajitetea.
Kwanini hili jambo lipo hivi?
1. Russia ni mtetezi wa nchi masikini na zile za ulimwengu wa pili (baadhi) mfano, karibu nchi zote za Africa zilijikomboa kutoka makucha ya ukoloni Kwa msaada wa Russia kupitia bunduki maarufu AK47 ya mzee Mikhail KALASHNIKOV na kiukweli wakoloni walikimbia ingawa walirudi Kwa njia nyingine na ndo maana vilianzishwa vikwazo dhidi ya ununuzi wa silaha toka urusi yaani ukinunua na ukagundulika misaada yoote inazuiwa na unaweza pigwa pia na hii ni Moja ya sababu kuundwa Kwa NATO Ili kupata udhibiti wa pamoja na hata NATO member states marufuku kununua silaha za Mrusi.
2. NATO wanaamini Mali zilizoko nchi masikini ni zao ni muda tu wa kuzifata (timing) Russia ni kikwazo kwakuwa Imani ama itikadi ya uchumi ya magharibi wanaamini ktk unyang'anyi yaani ukitoa machozi, damu au kufa wao ndo wanachukua na akati upande wa pili wanaamini ktk ushirikiano au ubia kati ya mwenye Mali na mwekezaji hivyo urusi kuwa na nguvu in hatari Kwa NATO ndo maana urusi lazima apiganishwe Kila baada ya miaka flani Ili kumdhoofisha.
3. Urusi alipoona kabanwa na kwakuwa ugawaji wa technology kwenda nchi zisizo na nayo ni marufuku upande wa magharibi basi urusi alitumia fursa hiyo kugawa technology Kwa baadhi ya nchi like china, India, Pakistan, Cuba, North Korea, Iran etc Ili akivamiwa na Hawa wakubwa ghala la silaha asiwe yeye peke yake na hii imezaa matunda mfano vita ya Cosovo na NATO urusi (by then USSR) walisaidiana na china kuiokoa Kosovo likewise vita vya Ukraine urusi imesaidiwa na Iran na Korea kaskazini na hakuna kilichoharibika maana NATO wamehama Ukraine wamehamia GAZa.
4. Urusi ni mafundi wazuri hasa zana za kivita ndo maana ndani mwetu si rahisi ukute Subwoofer ya Urusi au TV lakini ukienda jeshini hata sasa hivi Kuna silaha za kufa mtu brand za Russia na chanzo kingine ni nishati hasa mafuta, gas na makaa ya MAWE ambayo hakuna taifa lenye viwanda vingi halafu halichukui kutoka Russia ndo maana walipojaribu kuweka vikwazo vya nishati kibano kimewakumba Kwa kupanda gharama mara dufu za nishati ulaya na USA, lakini matajiri wenye viwanda walikaba serikali zao ilianzia kule USA wakalegeza na sasa hivi wanaagiza toka Russian na vikwazo kwenye nishati vimeondolewa kilicho badirika kununua Kwa RUBBLE badala ya US$
KWA LEO TUISHIE HAPA
Marekani kuna vitu vingi anategemea kutoka Russia,lkn Russia hakuna kitu cha mhimu anategemea kutoka Marekani.Vikwazo vya russia kwa US havina impact yoyote, ni kama vile unamnunia bosi wako wa kazi au mwenye nyumba wako