Urusi imeshawahi kuiwekea vikwazo Marekani?

Urusi imeshawahi kuiwekea vikwazo Marekani?

Lini russia akawa mtetezi wa nchi maskini? Unasoma hata vitabu kweli

Ndo nimeshangaaa eti urusi mtetwz
Wa nchi maskin.. point yake eti african tulipigana vita kwa kutumia AK47 za mrusi..

Hv ukipewa msaada wa silaha bure ndo umetetewa?

Hajui kuwa ulaya yote ni wanyonyaji wanaiona Africa kama Shamba la Urith same as Asia

Utofauti uko kwenye nguvu ya kuchuma
Tu.. mrusi anaonekana hawaban africa sababu hana Nguvu kubwa ya kuchota africa na sera zao za ndan pia ( urusi sio nchi ya kidemokrasia ) ila Yeye na marekani na ulaya yote wote sawa tofauti ulaji tu
 
Back
Top Bottom