Urusi imeshidwa kutetea Syria na Venezuela hata Tanzania watashidwa. Ni ujinga na maono yasiyo na tija kufikiria Urusi ambayo imetekeleza marafiki zake hata wale waliokuwa wana nunua silaha kutoka kwake akija USA Urusi inawatekeleza.
Sasa Samia anapoteza muda kwenye kujipendeleza na nchi yenye vikwazo vikubwa sana na iko kwenye vita kubwa na Ukraine
Sasa Samia anapoteza muda kwenye kujipendeleza na nchi yenye vikwazo vikubwa sana na iko kwenye vita kubwa na Ukraine