Urusi imeshidwa kutetea Syria na Venezuela hata Tanzania watashidwa

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Urusi imeshidwa kutetea Syria na Venezuela hata Tanzania watashidwa. Ni ujinga na maono yasiyo na tija kufikiria Urusi ambayo imetekeleza marafiki zake hata wale waliokuwa wana nunua silaha kutoka kwake akija USA Urusi inawatekeleza.

Sasa Samia anapoteza muda kwenye kujipendeleza na nchi yenye vikwazo vikubwa sana na iko kwenye vita kubwa na Ukraine
 
Hii ndiyo tunasema mfa maji haachi kutapatapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…