mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Kipindi cha baridi kimeanza na wanakata gas,Kamatia hapohapo mkuu lazima waisome namba
Hapo ndio utamu unapoongezekaKipindi cha baridi kimeanza na wanakata gas,
Kwahiyo ata Russia anaweza kuwastaki ambao wamesitisha kununua gas kwao kwasababu siamini kama kulikuwa na kipengele kwamba ikitokea mmeanzisha vita au kuingilia Nchi flani tutaacha kununua gas?Poland imesema hahitaji hiyo gesi ya Urusi
Lakini mkataba ulikuwa kati ya kampuni ya Poland na kampuni ya Urusi..."
Netflix wenyewe waliwakatia huduma warussia ambao walikuwa wamelipia huduma.Poland imesema hahitaji hiyo gesi ya Urusi
Lakini mkataba ulikuwa kati ya kampuni ya Poland na kampuni ya
Makampuni ya Urusi mengi yalikuwa ya Magharibi unashitaki vipi ?Kwahiyo ata Russia anaweza kuwastaki ambao wamesitisha kununua gas kwao kwasababu siamini kama kulikuwa na kipengele kwamba ikitokea mmeanzisha vita au kuingilia Nchi flani tutaacha kununua gas?
Ww mfuasi wa CCM huwa huamiki maana habari zako zote huwa hazina ukweli.Poland imesema hahitaji hiyo gesi ya Urusi
Lakini mkataba ulikuwa kati ya kampuni ya Poland na kampuni ya ...
Watulie dawa iwaingie , Urusi mwenyewe ni mahakama, walitaka kupunguza utegemezi komredi Putin kawasaidiaPoland imesema hahitaji hiyo gesi ya Urusi
Lakini mkataba ulikuwa kati ya kampuni ya Poland na kampuni ya Urusi
Kampuni ya Poland inayonunua gesi kuuza poland inasema kampuni ya Urusi imevunja mkataba kwa kutoipelekea gesi.Kuiburuza kampuni ya Urusi mahakamani kwa kukiuka mkataba
"Poland's deputy foreign minister said the country could cope without Gazprom's gas and had "taken some decisions many years ago to prepare for such a situation".
Polish state gas company PGNiG, which bought 53% of its gas imports from Gazprom in the first quarter of this year, confirmed that supplies to the country had been halted
It described the suspension as a breach of contract, adding that the company would take steps to reinstate the gas supply."
Baridi inakaribia kwisha bado kwa wiki 5 hivi.Kipindi cha baridi kimeanza na wanakata gas,
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] kwahiyo vikwazo watoe wao tu ili wakipewa wao inakuwa kesi au sioPoland imesema hahitaji hiyo gesi ya Urusi