Urusi imezikatia gesi nchi za Poland na Bulgaria. Putin alivyosema walipe kwa ruble hakuwa anatania

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
Urusi imezikatia gesi nchi za Poland na Bulgaria baada ya nchi hizo kukaidi kulipia gesi kwa kutumia pesa ya Urusi ruble. Mara baada ya tangazo hilo kutoka, bei ya gesi ilipanda kwa asilimia 12 katika nchi za magharibi!!

Gazprom halts gas supplies to Bulgaria, Poland
Russia’s state-owned energy corporation has put it down to Sofia and Warsaw’s failure to pay for the fuel in rubles

Gazprom, Russia’s major gas supplier, has announced that it completely halted gas deliveries to Bulgaria and Poland after these countries failed to pay for the fuel in rubles. According to the statement, the gas supplies will not resume until Sofia and Warsaw comply with the new terms.
 
IMG_20220426_110047.jpg
 
Poland imesema hahitaji hiyo gesi ya Urusi

Lakini mkataba ulikuwa kati ya kampuni ya Poland na kampuni ya Urusi

Kampuni ya Poland inayonunua gesi kuuza poland inasema kampuni ya Urusi imevunja mkataba kwa kutoipelekea gesi.Kuiburuza kampuni ya Urusi mahakamani kwa kukiuka mkataba

"Poland's deputy foreign minister said the country could cope without Gazprom's gas and had "taken some decisions many years ago to prepare for such a situation".

Polish state gas company PGNiG, which bought 53% of its gas imports from Gazprom in the first quarter of this year, confirmed that supplies to the country had been halted

It described the suspension as a breach of contract, adding that the company would take steps to reinstate the gas supply."
 
Lakini mkataba ulikuwa kati ya kampuni ya Poland na kampuni ya
Netflix wenyewe waliwakatia huduma warussia ambao walikuwa wamelipia huduma.

Kampuni kama visa master card hawakujali kuwa benki za russia zina mikataba nao wakajiondoa na kuwacha watumiaji ni mikadi ambayo haiwezi kufanya miamala.

Mtego wa panya unanasa wahusika na wasiohusika.
Aluta continua
 
Kwahiyo ata Russia anaweza kuwastaki ambao wamesitisha kununua gas kwao kwasababu siamini kama kulikuwa na kipengele kwamba ikitokea mmeanzisha vita au kuingilia Nchi flani tutaacha kununua gas?
Makampuni ya Urusi mengi yalikuwa ya Magharibi unashitaki vipi ?

Kwa mfano Total ya Tanzania ambayo wamiliki wafaransa ina mkataba na Total ya ufaransa kununua mafuta Tanzania na kuyauzia kampuni ingine ya ufaransa.

Ufaransa ikasema hainunui mafuta Tanzania utamshitaki nani kwa kuvunja mkataba?
 
Gesi.JPG
Urusi imesitisha huduma za kusambaza gesi katika nchi za Bulgaria na Poland, hali ambayo inaonesha mwelekeo wa uhusiano wa Urusi na mataifa ya Ulaya unazidi kudhorota.

Inadaiwa kuwa agizo hilo limetolewa na Rais wa Urusi, Vladimir Putin.

Nchi hizo ni za kwanza Barani Ulaya kusitishiwa usambazaji kutoka Urusi tangu taifa hilo lililoanza kuivamia Ukraine, Februari 24, 2022.

Vita ya Urusi na Ukraine imesababisha vifo zaidi ya 1,000, pia uhusiano unazidi kuwa mbaya kati ya Urusi na wanachama wa NATO.

Source: Daily Mail
 
Poland imesema hahitaji hiyo gesi ya Urusi

Lakini mkataba ulikuwa kati ya kampuni ya Poland na kampuni ya Urusi

Kampuni ya Poland inayonunua gesi kuuza poland inasema kampuni ya Urusi imevunja mkataba kwa kutoipelekea gesi.Kuiburuza kampuni ya Urusi mahakamani kwa kukiuka mkataba

"Poland's deputy foreign minister said the country could cope without Gazprom's gas and had "taken some decisions many years ago to prepare for such a situation".

Polish state gas company PGNiG, which bought 53% of its gas imports from Gazprom in the first quarter of this year, confirmed that supplies to the country had been halted

It described the suspension as a breach of contract, adding that the company would take steps to reinstate the gas supply."
Watulie dawa iwaingie , Urusi mwenyewe ni mahakama, walitaka kupunguza utegemezi komredi Putin kawasaidia
 
Poland imesema hahitaji hiyo gesi ya Urusi

Lakini mkataba ulikuwa kati ya kampuni ya Poland na kampuni ya Urusi

Kampuni ya Poland inayonunua gesi kuuza poland inasema kampuni ya Urusi imevunja mkataba kwa kutoipelekea gesi.Kuiburuza kampuni ya Urusi mahakamani kwa kukiuka mkataba

"Poland's deputy foreign minister said the country could cope without Gazprom's gas and had "taken some decisions many years ago to prepare for such a situation".

Polish state gas company PGNiG, which bought 53% of its gas imports from Gazprom in the first quarter of this year, confirmed that supplies to the country had been halted

It described the suspension as a breach of contract, adding that the company would take steps to reinstate the gas supply."
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] kwahiyo vikwazo watoe wao tu ili wakipewa wao inakuwa kesi au sio
 
Back
Top Bottom