Urusi imezikatia gesi nchi za Poland na Bulgaria. Putin alivyosema walipe kwa ruble hakuwa anatania

Nmwanachama wa NATO Sasa hivi watapata tabu kidogo kwa upande wa gesi lakini badae hiyo gesi kutoka Urusi wataipata sawa na bule baada ya kumtoa Putin madarakani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata sasa hivi inapatikana bei ya kutupwa na wauza gesi za magendo wa kirusi huko deep sea

Ulaya itaingia tu kwa magendo ila vita ikiisha wataipaata kwa bei kama bure
 
Waeleze Tatizo wanaleta ushabiki
 
Hata mimi nimemshangaa, iweje muuzaji ndo awe mfalme badala ya mnunuzi. Tusichojua ni kwamba watu hawakukurupuka kumpiga pini mrusi, walitazama yote haya. Ipo siku mrusi hali itakuwa tete mno.
 
Utampeleka vipi Mahakamani Mtu yuko full Sanctions?Mahakama gani itamuhukumu Mrusia?Hapo Sheria Mkononi tu hakuna Mahakamani wala kwa Mjumbe.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Yaani ukashtaki sababu mtu amegoma kununua kwako? Kwani kati ya muuzaji na mnunuzi nani ni mfalme?

Uko sahihi
Ni kama mfano nina daladala halafu nalazimisha kuwa lazima abiria wa wapande daladala yangu vinginevyo siji hiyo njia!! Na pili abiria waliokataa kupanda nitawaburuza mahakamani! Kwa kupitia hasara !!!
 
Nato ndiyo wanaotakiwa kushitakiwa
 
Nmwanachama wa NATO Sasa hivi watapata tabu kidogo kwa upande wa gesi lakini badae hiyo gesi kutoka Urusi wataipata sawa na bule baada ya kumtoa Putin madarakani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Russia hakuna mabasha. NATO huwa wanawatumia wanajeshi mashoga kuwahadaa wanaume kwakuwapa jicho kisha kuwageuka. Russia kitendo cha kuonesha ushoga huwa unawatia hasira zaidi. Watakutandika risasi kwenye hilo shimo. Hivyo NATO hawana njia nyingine yakumuondoa Putini mafarakani

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…