Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Mifano kama hii peleka uchochoroni huko.. mikataba ina walinda wote.Uko sahihi
Ni kama mfano nina daladala halafu nalazimisha kuwa lazima abiria wa wapande daladala yangu vinginevyo siji hiyo njia!! Na pili abiria waliokataa kupanda nitawaburuza mahakamani! Kwa kupitia hasara !!!
Subili utayaona majibuRussia hakuna mabasha. NATO huwa wanawatumia wanajeshi mashoga kuwahadaa wanaume kwakuwapa jicho kisha kuwageuka. Russia kitendo cha kuonesha ushoga huwa unawatia hasira zaidi. Watakutandika risasi kwenye hilo shimo. Hivyo NATO hawana njia nyingine yakumuondoa Putini mafarakani
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
AiseeeNato ndiyo wanaotakiwa kushitakiwa
Mkataba hauainishi namna ya kufanya malipo zaidi ya kusema Euro/dola zitatumika. Muuzaji ndiye mwenye mandate ya kuelekeza mode of payment. Kwa sasa urusi imeelekeza mnunuzi lazima afungue akaunti Gazprombank ambako ataweka hizo dola au Euro zake kama mkataba unavyosema alipe kwa Euro/dola. Baada ya hapo asubiri gesi! Kinachoendelea na dola zake alizoweka hakimhusu! Gazprombank huzitumia hizo dola kununulia ruble kisha kuzituma hizo ruble kwa gazprom ambayo ndiyo huuza gesi. Rais wa EU keshasema huo utaratibu unakubalika na wanunuzi wakubwa wa gesi wa ulaya Ujerumani na Austria wameukubali. Ona hapa:Poland imesema hahitaji hiyo gesi ya Urusi
Lakini mkataba ulikuwa kati ya kampuni ya Poland na kampuni ya Urusi
Kampuni ya Poland inayonunua gesi kuuza poland inasema kampuni ya Urusi imevunja mkataba kwa kutoipelekea gesi.Kuiburuza kampuni ya Urusi mahakamani kwa kukiuka mkataba
"Poland's deputy foreign minister said the country could cope without Gazprom's gas and had "taken some decisions many years ago to prepare for such a situation".
Polish state gas company PGNiG, which bought 53% of its gas imports from Gazprom in the first quarter of this year, confirmed that supplies to the country had been halted
It described the suspension as a breach of contract, adding that the company would take steps to reinstate the gas supply."
Makampuni ya Urusi mengi yalikuwa ya Magharibi unashitaki vipi ? Kwa mfano Total ya Tanzania ambayo wamiliki wafaransa ina mkataba na Total ya ufaransa kununua mafuta Tanzania na kuyauzia kampuni ingine ya ufaransa.Ufaransa ikasema hainunui mafuta Tanzania utamshitaki nani kwa kuvunja mkataba?
Kwa kuwa haya mambo yako kimkataba, na nchi za wenzetu huwa wako makini sana na mambo yao, basi aliyevunja mkataba atawajibika accordingly. Maisha lazima yaendelee!!!!
JESUS IS LORD
Baridi inakaribia kwisha bado kwa wiki 5 hivi.
Una uhakika baridi inaanza? Hebu jipe muda kidogo upate uhalisia wa hii coment yako MkuuKipindi cha baridi kimeanza na wanakata gas,
Sasa kama Poland hawahitaji gesi ya Urusi wanaenda mahakamani kufanya nini tena...Poland imesema hahitaji hiyo gesi ya Urusi
Lakini mkataba ulikuwa kati ya kampuni ya Poland na kampuni ya Urusi
Kampuni ya Poland inayonunua gesi kuuza poland inasema kampuni ya Urusi imevunja mkataba kwa kutoipelekea gesi.Kuiburuza kampuni ya Urusi mahakamani kwa kukiuka mkataba
"Poland's deputy foreign minister said the country could cope without Gazprom's gas and had "taken some decisions many years ago to prepare for such a situation".
Polish state gas company PGNiG, which bought 53% of its gas imports from Gazprom in the first quarter of this year, confirmed that supplies to the country had been halted
It described the suspension as a breach of contract, adding that the company would take steps to reinstate the gas supply."
Kwani hiyo baridi itaisha milele?Baridi inakaribia kwisha bado kwa wiki 5 hivi.
Sasa kama Eu hawana shida ya gesi Mbona wao ndio wanalalamika?Uko sahihi
Ni kama mfano nina daladala halafu nalazimisha kuwa lazima abiria wa wapande daladala yangu vinginevyo siji hiyo njia!! Na pili abiria waliokataa kupanda nitawaburuza mahakamani! Kwa kupitia hasara !!!
Putin kawashika akili hawa watoto.Una uhakika baridi inaanza? Hebu jipe muda kidogo upate uhalisia wa hii coment yako Mkuu
Mbna wamekufa watu kidogo sana hawajafika hata laki [emoji35][emoji35][emoji35][emoji34][emoji34]Urusi imesitisha huduma za kusambaza gesi katika nchi za Bulgaria na Poland, hali ambayo inaonesha mwelekeo wa uhusiano wa Urusi na mataifa ya Ulaya unazidi kudhorota.
Inadaiwa kuwa agizo hilo limetolewa na Rais wa Urusi, Vladimir Putin.
Nchi hizo ni za kwanza Barani Ulaya kusitishiwa usambazaji kutoka Urusi tangu taifa hilo lililoanza kuivamia Ukraine, Februari 24, 2022.
Vita ya Urusi na Ukraine imesababisha vifo zaidi ya 1,000, pia uhusiano unazidi kuwa mbaya kati ya Urusi na wanachama wa NATO.
Source: Daily Mail
Putin alichofanya hapa Ni kuwahi TU ili kuogopa fedheha au kuyagawa mataifa ya Ulaya (Divide and Rule)Urusi imezikatia gesi nchi za Poland na Bulgaria baada ya nchi hizo kukaidi kulipia gesi kwa kutumia pesa ya Urusi ruble. Mara baada ya tangazo hilo kutoka, bei ya gesi ilipanda kwa asilimia 12 katika nchi za magharibi!!
Gazprom halts gas supplies to Bulgaria, Poland
Russia’s state-owned energy corporation has put it down to Sofia and Warsaw’s failure to pay for the fuel in rubles
Gazprom, Russia’s major gas supplier, has announced that it completely halted gas deliveries to Bulgaria and Poland after these countries failed to pay for the fuel in rubles. According to the statement, the gas supplies will not resume until Sofia and Warsaw comply with the new terms.
hata Kama yalikuwa ni ya magharibi ,yaliingiaje kufanya biashara urusi!?? walikuwa na mikataba na urusi!! Na walikuwa wanalipa Kodi,hivyo wembe unakata kotekote!! Putin Safi Sana,Katia gesi hao kenge!!! na kipindi Cha kuganda ndo kimeingia,watageuka barafu kenge hao!!Makampuni ya Urusi mengi yalikuwa ya Magharibi unashitaki vipi ? Kwa mfano Total ya Tanzania ambayo wamiliki wafaransa ina mkataba na Total ya ufaransa kununua mafuta Tanzania na kuyauzia kampuni ingine ya ufaransa.Ufaransa ikasema hainunui mafuta Tanzania utamshitaki nani kwa kuvunja mkataba?