Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usinipangie[emoji4][emoji35][emoji4]Acha ujinga
Acha makasiriko boss ya kwenu mliamua kuigawa kama madalali unaisi urusi inawatu punguani kama kwenu tayri kashapata plani b gesi saivi itakuwa inaenda sana Asia nyie kipindi manaachana na gesi yake moja Kwa moja na yeye anashapata soko kubwa jipya ambalo viwanda vingi saivi vinafunguliwa Asia kuliko ulaaya China kaongeza kutumia gesi,India mafuta na gesi zinaenda snaa kwake basso Indonesia, na Vietnam nazo wataanzza Tumia iyoo gesi kwaiyo kijana wenzetu si kama SisiPutin ni bogus, hakuna popote ambapo mkataba unaongelea hayo madafu yake for the terms of payment, tayari wamemwambia akaye na gesi yake kuna sources nyingi.
Kuanzia mwakani atatembeza hiyo gesi kama karanga.
Mzee mbona umeongea kidananda sana kusema uchumi wa EU wote utaporomoka Germany akikatiwa gesi!?Waliokatiwa Gasi wananunua kiasi Kidogo Sana Cha Gasi ya URUSI na hawana athari Kiuchumi kwa URUSI. Mfano,Bulgaria inatumia $ 50M kwa Mwaka kununua Gasi kutoka Russia. Poland inatumia $ 190M kununua Gasi kutoka Urusi kwa Mwaka. Baba lao Ni Ujerumani. Ujerumani inatumia $ 420M kila siku kununua Gasi ya Urusi. Hiki Ni kiasi kikubwa kwa siku moja,Kwa Mwezi pekee Ujerumani anatumia $ 17B kununua Gas ya Urusi.
MARK MY WORDS
Siku Urusi akiikatia Gas Ujeremani,Basi Uchumi wa Ulaya yote na Urusi utaporomoka kuliko unavyofikilia. Urusi itapoteza 60% ya Mapato kwenye GDP ,Uchumi wa Ujerumani Utasambaratika na Ulaya yote.
Ndio maaana nasema,Urusi atakata Gasi kote Ulaya lakini sio Ujerumani,MARK MY WORDS.
Shida ni kwamba Russia anafanya maamuzi kwa kukurupuka akitaka kujifanya ana nguvu.Urusi imezikatia gesi nchi za Poland na Bulgaria baada ya nchi hizo kukaidi kulipia gesi kwa kutumia pesa ya Urusi ruble. Mara baada ya tangazo hilo kutoka, bei ya gesi ilipanda kwa asilimia 12 katika nchi za magharibi!!
Gazprom halts gas supplies to Bulgaria, Poland
Russia’s state-owned energy corporation has put it down to Sofia and Warsaw’s failure to pay for the fuel in rubles
Gazprom, Russia’s major gas supplier, has announced that it completely halted gas deliveries to Bulgaria and Poland after these countries failed to pay for the fuel in rubles. According to the statement, the gas supplies will not resume until Sofia and Warsaw comply with the new terms.
Ndio maana hili ni jukwaa la international forum punguza ujuajiHivi muda huu mnaopata ndugu zangu watanzania kuyachambua mataifa ya mbali tungetumia kuchambua matatizo ya nchi yetu na kupendekeza njia za kutatua matatizo hayo nadhan tungekuwa mbali Sana kiuchumi ndugu zangu wamarekan wa popobawa manzese na warusi wa buza kwa mama kibonge
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Itachukua si chini ya miaka Saba,na hiyo nishati itakua ghali Mara tano ya urusiMie naona jamaa anajiweka pabaya kiuhusiano wa kiuchumi.
EU wanatafuta mbadala pa kununulia aina zote za nishati sio gesi tu na mafuta mpk makaa ya mawe.
Na Russia mataifa ya EU ndio wateja wake wakubwa.
Wadhani Russia atakua ktk wakati gani!?
Rahisi kusema kuliko kutenda,kampuni za ujerumani bado zinashupaa na gesi ya urusi,zinaangalia namna ya kukwepa vikwazoShida ni kwamba Russia anafanya maamuzi kwa kukurupuka akitaka kujifanya ana nguvu.
Tupo hapa Russia itakuja kuwa km Cuba kiuchumi baadae.
USA na EU waliongea jana na mama Ursula kuwa wanakaribia kupata mbadala wa kununua nishati aina zote mpk makaa ya mawe nje ya Russia na watakata kununua aina zote za nishati Russia.
Unadhani Russia kiuchumi itakua hali gani!?
Kuna pesa zinaandaliwa za ku backup sio tu uchumi wa EU Bali mpk uchumi wa Ukraine.
Kiufupi Ulaya Russia anabaki na mshirika mmoja tu Mr.Lukashenko wa Belarus .
We wasema tu.Kuna shida hazivumiliki wala hazisubiri.Kukosa gesi hata kwa siku moja ni kifo ,Hiyo plan ya muda mrefu haifanyi kazi.We waache tu, wanaona kama NATO wamewehuka hivi kumbe wenzao wapo ktk plan.
Msiwe mnatuletea comments za kile umachotamani kichwani kwako kitokee ndiyo una assume kimetokea.Nyinyi mlituaminisha hapa Germany kasalimu amri ananunua gesi kwa Ruble,huyo huyo Germany aliyesalimu amri ndiyo kwanza ameidhinisha kupeleka silaha nzito zaidi UkraineTaarifa za hivi punde zinasema nchi za Ulaya zimeshaanza mpasuko kuhusiana na vita vya Ukraine na vikwazo hasa kutokana na gesi. Nchi kadhaa zimeanza kununua gesi kwa sarafu ya Urusi ya Rouble kinyume na misimamo yao ya awali. Kinara wa kutunisha misuli hiyo alikuwa Ujerumani wakijidai watatafuta gesi kutoka kwengine.Mashirika yanayoingiza gesi nchini humo mengi yakiwa yana ubia tu na serikali yametaka yapate ufafanuzi kutoka serikali yao na kutoka umoja wa Ulaya juu ya nini ni kukiuka vikwazo wanaponunua kwa Rouble. Katika janja janja ya Ujerumani kuendelea kupata gesi huku ikitoa kauli mbaya kwa Urusi ilitaka walipe kwa Euro halafu pesa hiyo ikiingia benki ibadilishwa na kampuni ya kuzalisha gesi ya Gazpon kuwa rouble,hata hivyo wazo hilo limepingwa na Urusi na kutaka chenji ifanyike kabla ya kuingizwa kwenye akaunti.
Gesi hawajakatiwa kwa sababu kuna makampuni ya Ujerumani yananunua kwa rouble tayari.Wameshindwa kuacha kununua.Na kuhusu kupeleka silaha nzito si dalili ya kuwa mbabe bali hicho ni kiburi zaidi.Hujawahi kuona anapigana na huku analia kwa vile hataki aonekane kashindwa.Msiwe mnatuletea comments za kile umachotamani kichwani kwako kitokee ndiyo una assume kimetokea.Nyinyi mlituaminisha hapa Germany kasalimu amri ananunua gesi kwa Ruble,huyo huyo Germany aliyesalimu amri ndiyo kwanza ameidhinisha kupeleka silaha nzito zaidi Ukraine
Sasa inaingia akilini mtu aliyesalimu amri hapo hapo anakuwa na guts za kupeleka silaha.Na kwanini Russia hajakata gesi kwenda Germany pamoja na kukaidi kote kwa masharti aliyomwekea?
Embu fikiria kabla ya kuongea.Itachukua si chini ya miaka Saba,na hiyo nishati itakua ghali Mara tano ya urusi
Embu fikiria unazungumzia mataifa yepi mzee.Rahisi kusema kuliko kutenda,kampuni za ujerumani bado zinashupaa na gesi ya urusi,zinaangalia namna ya kukwepa vikwazo
Wakipata mbadala ndio uje uchangieShida ni kwamba Russia anafanya maamuzi kwa kukurupuka akitaka kujifanya ana nguvu.
Tupo hapa Russia itakuja kuwa km Cuba kiuchumi baadae.
USA na EU waliongea jana na mama Ursula kuwa wanakaribia kupata mbadala wa kununua nishati aina zote mpk makaa ya mawe nje ya Russia na watakata kununua aina zote za nishati Russia.
Unadhani Russia kiuchumi itakua hali gani!?
Kuna pesa zinaandaliwa za ku backup sio tu uchumi wa EU Bali mpk uchumi wa Ukraine.
Kiufupi Ulaya Russia anabaki na mshirika mmoja tu Mr.Lukashenko wa Belarus .
Weee fanya tathmini MKUU ukipata majibu uje nayoEmbu fikiria unazungumzia mataifa yepi mzee.
Unazungumzia mataifa yaliyoimarika kiuchumi na kifedha.
Kaa fanya tathmini nani mpk sasa ameumia na kaanguka kiuchumi Kati ya mataifa ya EU na Russia.
NASUBIRI JIBU.
Raia wa hayo mataifa wakikusikia watakupiga mawe,recession inaingia marekani,mfumuko wa Bei ulaya koteEmbu fikiria unazungumzia mataifa yepi mzee.
Unazungumzia mataifa yaliyoimarika kiuchumi na kifedha.
Kaa fanya tathmini nani mpk sasa ameumia na kaanguka kiuchumi Kati ya mataifa ya EU na Russia.
NASUBIRI JIBU.