Urusi imezikatia gesi nchi za Poland na Bulgaria. Putin alivyosema walipe kwa ruble hakuwa anatania

Urusi imezikatia gesi nchi za Poland na Bulgaria. Putin alivyosema walipe kwa ruble hakuwa anatania

We
Raia wa hayo mataifa wakikusikia watakupiga mawe,recession inaingia marekani,mfumuko wa Bei ulaya kote
We jamaa akili huna.
Unafananisha madhara walopata Urusi na EU??
Yani unafananisha madhara aliyopata Russia na Germany, France na washirika!?
AU HUKUELEWA SWALI!?
NARUDIA SWALI,KATI YA EU NA RUSSIA SIO UKRAINE NA RUSSIA NOP KATI YA EU NA RUSSIA NANI KAATHIRIKA KIUCHUMI MPK SASA!?
MIND YOU RUSSIA RUBLE IMESHUKA THAMANI ZAID YA 30%, FOREIGN RESERVE IMEKUA FROZEN,MATAJIRI MALI ZAO KUSHIKILIWA.
NDUGU UNAFANANISHA MADHARA HAYO NA EU??
 
Wakipata mbadala ndio uje uchangie
Halafu URUSI kakurupuka alikwambia nani!!?
Upe muda nafasi huku ukiomba UHAI na UZIMA ndio utaelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa unaweka ushabiki mbele kuliko uhalisia.
Unakosea japo hoja zako zatakiwa kuheshimiwa.
We unafikiri China muda mwingine kutumia busara na kuufyata ni mjinga!?
Kitu kikubwa dunia ya sasa ni Uchumi.
Ukishakua mdhaifu ktk uchumi watu hawashughuliki na ww.
Uchumi wa Russia unaanguka unadhani baadae Western powers watakua na mpango nae!?
 
Weee fanya tathmini MKUU ukipata majibu uje nayo
Lakwanza angalia uimara wa hizo fedha zao kuanzia mgogoro unaanza mpaka leo hii
Pili angalia mfumko wa bei kwenye hayo mataifa kabla na baada ya huu mgogoro ikiwemo leo

Sent using Jamii Forums mobile app
Unafanya nishindwe kuendeleza mjadala na ww.
Ruble imeshuka thamani mbele ya Dollar,euro na pound.
Hivi habari huna!?
Dollar,euro na pound thamani zake ziko pale pale.
Labda km huangalii habar za biashara za kimataifa mzee.
Km hali ya uchumi ingekua nzuri Russia wananchi wasingekua wakihamia Tbilisi Georgia.
Mataifa ya EU ikiwemo France ns Germany imeweka ilani ya kuruhusu wakimbizi wa Ukraine kupewa nafasi za ajira na kuhudumiwa km raia wa kawaida still unataka kubishana na watu km hao!?
EU Wana bank yao ya kuback up uchumi je Russia anategemea a back up uchumi kwa msaada upi!?
Mind you China amejitoa kumpa mkono.
 
We

We jamaa akili huna.
Unafananisha madhara walopata Urusi na EU??
Yani unafananisha madhara aliyopata Russia na Germany, France na washirika!?
AU HUKUELEWA SWALI!?
NARUDIA SWALI,KATI YA EU NA RUSSIA SIO UKRAINE NA RUSSIA NOP KATI YA EU NA RUSSIA NANI KAATHIRIKA KIUCHUMI MPK SASA!?
MIND YOU RUSSIA RUBLE IMESHUKA THAMANI ZAID YA 30%, FOREIGN RESERVE IMEKUA FROZEN,MATAJIRI MALI ZAO KUSHIKILIWA.
NDUGU UNAFANANISHA MADHARA HAYO NA EU??
Ruble gani iliyoshuka Thamani 30%!?...bado una habari za miezi miwili iliuopita!?...fanya assessment EU itapoteza dola/euro ngapi ngapi kwa kukosa nishati za Russia!?
 
Nasikia Ujerumani naye Jana kaliwa panga , ila sijui Kama ni habari za uhakika.
Russia yawakatia gesi Wapoland, sarafu za Euro na Pound ya Uingereza zaporomoka

Sarafu za Euro na Pound ya Uingereza zimeporomoka thamani yake baada ya Russia kuamua kuzikatia gesi nchi za Poland na Bulgaria kutokana na kufuata kwao kibubusa siasa za Magharibi.

Hayo yameripotiwa na televisheni ya Euro News ambayo imesema kuwa, sarafu ya Euro imeporomoka mbele ya dola ya Marekani baada ya Russia kuzikatia gesi Poland na Bulgaria. Thamani ya Euro imeporomoka kwa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa katika kipindi cha miaka mitano iliyopita.

Pound ya Uingereza pia imeporomoka mbele ya sarafu ya dola kwa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa katika kipindi cha miaka miwili iliyopita baada ya Russia kuamua kusimamisha kupeleka gesi yake katika nchi mbili za Poland na Bulgaria za mashariki mwa Ulaya.

Bei ya gesi katika nchi za Ulaya jana Jumatano iliongezeka kwa zaidi ya asilimia 23 baada ya kuchukuliwa hatua hiyo ya Russia ikiwa ni kujibu vikwazo vya Magharibi dhidi ya Moscow.

Nchi za Ulaya ni tegemezi mno kwa nishati ya Russia

Hatua hiyo ya Russia imechukuliwa baada ya msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia kusema kuwa nchi za Magharibi zinachuana kutuma silaha Ukraine. Maria Zakharova ameashiria madai ya nchi za Magharibi kwamba zinafanya juhudi kurejesha amani huko Ukraine na kusisitiza kuwa: "Hatua hii ya Magharibi inakinzana na matamshi ya nchi hizo."

Msemaji huyo wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia ameongeza kuwa, nchi za Magharibi zinafanya kila kinachowezekana ili kuchelewesha oparesheni amilifu ya jeshi la Russia nchini Ukraine.

Ikumbukwe kuwa, juzi Jumanne, Christine Lambrecht Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani alisema kuwa, Berlin itatoa kibali cha kuikabidhi Ukraine vifaru; hatua inayodhihirisha kubadilika wazi sera za tahadhari za Berlin katika suala la kuiunga mkono kijeshi serikali ya Kiev.
 
Ruble gani iliyoshuka Thamani 30%!?...bado una habari za miezi miwili iliuopita!?...fanya assessment EU itapoteza dola/euro ngapi ngapi kwa kukosa nishati za Russia!?
Khaa ht habari hutizami jinsi uchumi na sarafu ya Russia inavyozorota!?
Pole sina Cha kubishana hapo.
NARUDIA hayo mataifa yameshajipanga ndugu kwa lolote litakalotokea.
Na wiki ilopita Ursula Von der leyen aliweka kikao kutenga fungu benki ya EU ya kubambana na economic tragedy yeyote itakayotokea.
JE RUSSIA BACK UP YAKE IKO WAPI!?
 
Ruble umepanda Thamani,imerudia Thamani yake kabla ya vikwazo,maana baada ya vikwazo iliporomoka,Hilo funguo wanalotenga EU ndizo miongoni mwa hasara zenyewe,unadhani urusi aliyeanzisha Vita alikua hajajipanga!?
 
Mkuu wakati vita anaanza $ moja ilikua sawa na rouble 110, kwa rate ya leo $1 ni sawa na rouble 71!! Kwa uelewa wako ni pesa ipi inashuka thamani hapo?
 
Hee hatari hi!!!
Ruble irudi thamani ilhali vyanzo vya vipato vimeporomoka!?
Unajisikia unachoongea bro!!??
Angekua amekuja kajipanga wananchi wasingekua wanaitoroka nchi kukwepa ugumu wa maisha.
Hali ya wananchi Russia ni tete.
Usisahau pia vita ikiisha kuna gharama zake.
Je Russia kwa kuzuiliwa hazina ya nje na matajiri wake kuwekewa kibano fedha za kurekebisha yote atazitolea wapi?!
 
Mkuu wakati vita anaanza $ moja ilikua sawa na rouble 110, kwa rate ya leo $1 ni sawa na rouble 71!! Kwa uelewa wako ni pesa ipi inashuka thamani hapo?
Nitafuatilia usemalo na kupata uhakika.
$ haijawahi kushuka thamani labda useme ruble imepanda thamani juu ya $.
Vipi kuhusu nyenzo zingine za kiuchumi!?
Mpk sasa Kuna wamiliki wa viwanda kadhaa ikiwemo vya sigara wamekimbia nchi na kufunga viwanda.
Hilo unalizungumziaje kiuchumi!?
 
Hee hatari hi!!!
Ruble irudi thamani ilhali vyanzo vya vipato vimeporomoka!?
Unajisikia unachoongea bro!!??
Angekua amekuja kajipanga wananchi wasingekua wanaitoroka nchi kukwepa ugumu wa maisha.
Hali ya wananchi Russia ni tete.
Usisahau pia vita ikiisha kuna gharama zake.
Je Russia kwa kuzuiliwa hazina ya nje na matajiri wake kuwekewa kibano fedha za kurekebisha yote atazitolea wapi?!
Hebu Google ruble appreciates...
 
Back
Top Bottom