Hello wakuu,
Naomba kutangaza my interests! Mimi ni mmoja wa watu ambao kama mambo yataenda sawa sawia, basi mwaka huu nitaenda Urusi kusoma my bachelor
Hivyo huu uzi hauhusiani na mihemko ya kivita au upenzi wowote ule!
Ipo hivi, Urusi Ina embassy hapa kwetu, tafsiri yake kuna mambo fulani tunahusiana nao. Je, kuna kampuni zozote za kirusi hapa nchini? Au nini Urusi imewekeza hapa mbali na kuwa na embassy?
Nataka nikishamaliza shule angalau nije kuomba kazi kwenye kampuni hizo hapa nchini!
Asanteeee