Urusi ina Ubalozi wake hapa nchini; je, imewekeza nini Tanzania?

Urusi ina Ubalozi wake hapa nchini; je, imewekeza nini Tanzania?

Tunavyokua na Balozi zetu kwenye nchi za watu hakuna tulichowekeza zaidi ya diplomasia...
 
Tuna-import Crude Oil, Ngano, Silaha, na Mbolea kutoka Urusi.

Urusi Wana kiwanda Chao au mgodi au mashamba mkoani Iringa, Miradi siyo ya Serikali ya Urusi Bali Mmiliki wake ni Mrusi na Iringa ndiyo mkoa wenye waumini wengi sana wa dhehebu la Orthodox nchini

Asante !

Sikufahamu Hilo
 
Back
Top Bottom