Sio kila anaeenda urusi anarudi akiwa mleviWakati unasubiria makibu ya wana, langu ni moja.
Jiandae kurudi nchini ukiwa mlevi mbwa.
Na hili ni ngumu kulikwepa, huko ni baridi mno so kilaji kwao ni kama chai kwa wachaga na wameru au watu wa nyanda za baridi.
Tuna-import Crude Oil, Ngano, Silaha, na Mbolea kutoka Urusi.
Kama Marekani na Ulaya ilivyowekeza kwenye ushoga. Kila anayekuwa mpinzani wa CCM lazima awe kama waourusi imewekeza silahaa hapa tanzania kwa yoyote anayepinga ccm basi hizo silahaa zitatumika polisi na usalama wa ccm
Wewe Una ongopa hapa!!..Unajua kwamba hakuna Mrusi ana wekeza nnje ya Urusi bila kuwa na fedha na utashi wa serikali ya Putin!!..Tuna-import Crude Oil, Ngano, Silaha, na Mbolea kutoka Urusi.
Urusi Wana kiwanda Chao au mgodi au mashamba mkoani Iringa, Miradi siyo ya Serikali ya Urusi Bali Mmiliki wake ni Mrusi na Iringa ndiyo mkoa wenye waumini wengi sana wa dhehebu la Orthodox nchini
Pia muache kuwa fanisha wa Ukraine/Poland/Russia nimefanya biashara za Mashine na wa Poland na Ukraine wengi walikuwepo Mbeya, Singida,Iringa kanda ya Ziwa pia wa Russia ni wachache labda wengi wapo pale sea view!!..Wengine wako Chunya-Mbeya wanachimba madini (dhahabu)
Makombora ππππHello wakuu,
Naomba kutangaza my interests! Mimi ni mmoja wa watu ambao kama mambo yataenda sawa sawia, basi mwaka huu nitaenda Urusi kusoma my bachelor
Hivyo huu uzi hauhusiani na mihemko ya kivita au upenzi wowote ule!
Ipo hivi, Urusi Ina embassy hapa kwetu, tafsiri yake kuna mambo fulani tunahusiana nao. Je, kuna kampuni zozote za kirusi hapa nchini? Au nini Urusi imewekeza hapa mbali na kuwa na embassy?
Nataka nikishamaliza shule angalau nije kuomba kazi kwenye kampuni hizo hapa nchini!
Asanteeee
Labda, sayansi ya uranium, matumizi ya sumu, uwongo, ukatili na ..m Mhhhhhh.Hello wakuu,
Naomba kutangaza my interests! Mimi ni mmoja wa watu ambao kama mambo yataenda sawa sawia, basi mwaka huu nitaenda Urusi kusoma my bachelor
Hivyo huu uzi hauhusiani na mihemko ya kivita au upenzi wowote ule!
Ipo hivi, Urusi Ina embassy hapa kwetu, tafsiri yake kuna mambo fulani tunahusiana nao. Je, kuna kampuni zozote za kirusi hapa nchini? Au nini Urusi imewekeza hapa mbali na kuwa na embassy?
Nataka nikishamaliza shule angalau nije kuomba kazi kwenye kampuni hizo hapa nchini!
Asanteeee
Tanzania inanunua mafuta urusi tangu lini?Tuna-import Crude Oil, Ngano, Silaha, na Mbolea kutoka Urusi.
Urusi Wana kiwanda Chao au mgodi au mashamba mkoani Iringa, Miradi siyo ya Serikali ya Urusi Bali Mmiliki wake ni Mrusi na Iringa ndiyo mkoa wenye waumini wengi sana wa dhehebu la Orthodox nchini
Aulizie tu kwa hamza ni rahisi zaidi.Kama Upo Dar Es Salaam
Nenda Hapo Kabla Ya Mataa Ya Makutano Ukiwa Unatoka Salenda
Kuna Ubalozi Kushoto
NakaziaAulizie tu kwa hamza ni rahisi zaidi.
Wale siyo Warusi ni WabulgariaWengine wako Chunya-Mbeya wanachimba madini (dhahabu)