Urusi inataka kupitisha Sheria itakayopiga marufuku mambo yoyote yanayohusiana na LGBT

Urusi inataka kupitisha Sheria itakayopiga marufuku mambo yoyote yanayohusiana na LGBT

STRUGGLE MAN

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2018
Posts
8,633
Reaction score
16,586
Hii sheria inapitishwa miongoni mwa malengo ni kulinda watoto juu ya kuathiriwa na maswala yanayohusiana na LGBT nchini Urusi.

Tumeona nchi kama Belarus wangese wamepigwa marufuku kabisa.

Tukumbuke pia tokea hii operation ianze LGBT walikua wakipiga vita Urusi na kufikia kuchoma hata bendera za Urusi katika nchi zao.

=======

Russian Parliament Introduces Bill to Completely Ban LGBTQ+ Imagery.

The new bill has entered Russia’s State Duma and would prohibit any depictions of LGBTQ+ imagery online,in media and in public.

Its intention is to prevent children from being exposed to LGBTQ+ propaganda

20220718_141608.jpg
 
... safi sana! Kwa hili nawaunga mkono ila isiwe geresha za kisiasa kutaka kutafuta umaarufu! Why now? Maana sheria zao ziliruhusu sana ushoga na amekuwa madarakani muda mrefu sana akizitetea hizo sheria.
 
Skia ww, unatakiwa uwakubali Urusi kwa kila jambo, ukweli wa machafu ya nato sio kama hamujui mnafahamu maovu yao na malengo yao ila mnajifanya wakaidi, mtaelewa tu
 
... safi sana! Kwa hili nawaunga mkono ila isiwe geresha za kisiasa kutaka kutafuta umaarufu! Why now? Maana sheria zao ziliruhusu sana ushoga na amekuwa madarakani muda mrefu sana akizitetea hizo sheria.
Russia iko tofauti Sana na nchi za magharibi kuanzia utamaduni na religious policies zao. Russia Dini ya orthodox inanguvu Sana mbaka kwenye ngazi ya maamuzi kitaifa tofauti na nchi nyingin ambazo dini ziko mbali na state affairs
 
Hiyo picha umeichora wewe mkuu???

Kwanini hukuweka au hawakuweka mkono wa mtu mweupe ambao ndo wanaoshabikia hayo mambo wakaweka wa Mwafrica kwamba ngozi nyeusi ndo inayoshabikia sana huo ujinga au?!

Hii siyo haki,wabaguzi wakubwa!!!
 
... safi sana! Kwa hili nawaunga mkono ila isiwe geresha za kisiasa kutaka kutafuta umaarufu! Why now? Maana sheria zao ziliruhusu sana ushoga na amekuwa madarakani muda mrefu sana akizitetea hizo sheria.
hio sio geresha Russia ushoga lilikuwa ni kosa tena sheria zao haziruhusu kumtamkia mtoto kuwa duniani kuna mashoga.
 
Back
Top Bottom